Kuwa katiaka mahusiano na mwanamke kwa hitaji hekima sana. Jibu jepesi, mwambie ampe uroda anaye msumbua sana. Ila ahakikishe anafanya ngono salama.
Hi imeshakuwa dunia ya kusalitiana, aina haja ya kuumizana vichwa.
Mwambie ni kwa sababu kakaa kutoa toa, ukiona watu wanakusumbua sana wana uhakika wa kupata. Either wameshasimuliana kwamba anapatikana, au mwonekano wake umekaa kupatikana patikana.
Dahhh Kind hayo ni majanga kwa kweli,ila jaribu hii em muulize kwa hiyo mpenzi ulikuwa unasemaje au unataka nikusaidieje ili ujue maoni yake na lengo lake la kukukwambia hivyo,huenda anakwambia hivyo ili ajipe thamani labda anaona unamuona wa kawaida sana au anataka ujue jinsi anavyotihadi sana kulilinda penzi lenu licha ya usumbufu anaoupata kutoka kwa wakaka wa pembeni ikiwa ni ishara ya upendo wake wa dhati kwako,kaa naye vizuri tu na kwa upole bila papara muulize maswali ya maoni kwa saikolojia ya hali ya juu nawe utajua tu lengo la kukwambia hivyo ni nini afu utaamua eiza usuke au unyoe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.