Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
mwambie awakubalie ili aepushe kusumbuliwa..
Nashukuru kwa mawazo yenu maana nipo nae mbali kwa sasa. Na hayo anayosema ndio napatwa wasiwasi.
Mwambie ni kwa sababu kakaa kutoa toa, ukiona watu wanakusumbua sana wana uhakika wa kupata. Either wameshasimuliana kwamba anapatikana, au mwonekano wake umekaa kupatikana patikana.