zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
ha ha hahaHaiwezekani hukumtembezea kichapo huyo kidume mwenye guys za kufika nyumbani kwako.
Anyway;
Unataka adhabu gani za zamani enzi zetu au za kisasa????
Kama unataka za kisasa...kaa chini zungumza na dada yako na bibi yako anayefuga hayo maradhi
Kama unataka za enzi zetu, una option mbili...1. Mrudishe kwa wazazi au kijijini
2. Mfukuze aende kwa huyo mwanaume
Kazi kwako
Sidhani kama huyo ni mwanaume maana kidume ukikuta ujinga kama huo lazima pale pale useme kitukwani wewe hupewa adhabu unavyokwenda kugengenda wadada wa watu.muache apate raha
swissme
Kanikera sanaHuyo shemeji yako hana nidhamu.....kwani hana hela ya guest.
Asante McDonaldJrOngea nae maana balaa likishuka ujue wewe utakua mhanga pia naamini wote tumepita kwenye umri wa mihemko hasa wakati tukiwa tunahifadhiwa chini ya miamvuli ya wazazi au walezi na tulifanya makosa,ni heri uongee nao tu.
Nilishindwa nimfanyeje, nilimuamini sana mdogo anguHaiwezekani hukumtembezea kichapo huyo kidume mwenye guts za kufika nyumbani kwako.
Anyway;
Unataka adhabu gani za zamani enzi zetu au za kisasa????
Kama unataka za kisasa...kaa chini zungumza na dada yako na bibi yako anayefuga hayo maradhi
Kama unataka za enzi zetu, una option mbili...1. Mrudishe kwa wazazi au kijijini
2. Mfukuze aende kwa huyo mwanaume
Kazi kwako
Mungu akubariki sana asmaa80 kwa ushaur mzuri. Nakuahd ntaufanyia kaziMdogo wako ana umri gani kwani? Muite mwambie hukupendezewa na ulichokiona, mkanye umpe hasara za hao vijana, kama anasoma umsisitizie kukazania masomo, mkumbushe kuhusu mimba na maradhi, usitumie hasira ila kuwa serious katika hayo maongezi, ukimaliza mfate yule kijana kaa nae umfahamishe kuwa hutapenda kumuona tena akiwa na mdogo wake, siku ukimuona utamfungulia kesi n.k. vitisho vya kawaida mpe, huyo mvulana mpe mkwara wa kisawa sawa, ila dada ongea nae kwa busara, mana sie watoto wa kike ukiongea kwa hasira ndo kama atakukomoa Zaidi kwa ulivyompiga au kumtukana yani ni kama unampa ujasiri wa penzi lake, ila ukiongea nae kwa busara kumuonyesha kiasi gani unampenda na hutaki aibu yoyote ataona huruma, na kuwaza mazuri unayomfanyia na upumbavu anaofanya, atajirekebisha na kuwa makini, na usione aibu kumeeleza anadeserve wanaume wa aina gani, mponde huyo kijana wake n.k.