Kweli kabisa siku zote lipa uovu kwa wema. Isitoshe wakati mwingine mtu anakukataa kwa sababu hakujui vizuri akikujua ataanza kujilaumu sana hayo ndiyo malipo yake.Shigha mvurundu!!! Kama unampenda binti na binti anakupenda msaidie kwa ajili ya bint sio kwa ajili ya mamaake pia ukimsaidia atajifunza kuwa usimdharau usie mjua Kama binti ana msimamo kwako fanya hisan ila usiwazie kulipwa jema kutoka kwa mama.
Wewe mwangalie mpenzi wako maana tabia Ni ngozi ila mama akiwa mtu mwerevu atajifunza kitu na atakuheshimu Sana
Usilipize kisasi kama unazo mlipie hilo deni.Za moniee wana jamvi,