Wewe una PHD mpaka unamuona huyo wa darasa la 7 huna pakumpeleke? mbona kabla hujamvua nguo hukuangalia umri wala darasa wala mtoto alokua nae later ndio umejua yote hayo? wacha kujifanya ukoo juu kuliko mwengine,type yako ndio hizo za mama ntilie sasa kama umepata mwengine nenda usije ukachelewa lakini usimfanye huyo mwanamke kama anakuhitaji sanaaa,ebu mwambie sikutaki na mpe sababu kama ulosema halafu uone mziki wake...Wakuu,kuna mama ntilie flani hapa arusha kaniganda hatari,nilikua na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakin naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa me mtu wa hvyo nimpeleke wapi wakuu.nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
Anahitaji maombi kwakweli.....Umpeleke wapi?hivi wewe jamaa ni mzima kweli?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahKama anazigo nipe kijiti nikimbize kidogo