Nimkubali huyu mwanamke au?

Nimkubali huyu mwanamke au?

Kumbe kuna mapenzi ya kuandikiana barua bado? Bila shaka bado watoto nyie
 
Kumbe kuna mapenzi ya kuandikiana barua bado? Bila shaka bado watoto nyie
Mapenzi ya barua matamu sana hapo ndo unajua muandiko wa mwenzi wako kama ni wabata utajua hapo.. mkuu huo si utoto..
 
Yeye ni mzuri tu anashepu wenyewe wanaita utamu kunoga! Guu nikisema la bia nitakuwa simtendei haki, mtoto anaguu la whisky.

Shingo ndo tusiseme wanaita shingo la mnazi! Kwenye chuchu naomba nisiseme nitanogesha Mambo. Kiuno dondola si dondola nyigu si nyigu labda tu niseme Kama kilamba mwiko. Tuachane na hayo niende kwenye mada.

Weekend iliyoisha huyu kiumbe alinifata akanikuta nimeketi zangu nakunywa juisi kola yangu baridi nawaza nitabidisha vipi hicho kinywaji kiwe balimi! Alivyokuja tukasalimiana baada ya maongezi mawili matatu akatulia tuli then akaanza kuniuliza unakunywa nini?

Nikamwambia ni fanta akabisha. Mara akaomba nikamkatalia yeye alikuwa akisema anasikia harufu ya juisi kola!.. Anyway tuachane na hilo nililimaliza kiinjinia na alielewa si juisi kola japo alikubali kishingo upande.

Shida iliyokuwa imemleta alikuwa amekuja kuniambia kuwa ananipenda! Wala sikushangaa kwani hakuanza siku hiyo alianzaga na barua ila sikumjibu! So anachodai yeye ni kuwa anaona sitaki kumkubali kwakuwa nafikiri kuwa ati atakuwa akiniomba hela! Hili si tatizo bali tatizo kaniambia ati nisijali yeye hataniomba hata mia yangu atajitegemea. Sasa najiuliza huyu bibie anataka kuniweka kwenye mtego au?

Ushauri wenu wakuu isijekuwa ndo naenda kutolewa meno hivi hivi.[/QUOTE (kimbia)
 
Huu ndo ushauri Sasa mkuu popote ulipo kunywa juisi kola ntakuja kulipa..
Tayari nipo kwa mangi hapa, nmechukua juice cola ya unga tsh 200, ntaenda kuchanganya na maji home.
 
Tayari nipo kwa mangi hapa, nmechukua juice cola ya unga tsh 200, ntaenda kuchanganya na maji home.
Safi sana angalia tu usije ukajikojolea kitandani mkojo wake unavyonukia ni kama unakuchamba..😅
 
wee mie sikojoi kitandan
Ntakufundisha usihofu hizo kazi wengine tulianza toka zamani Sana tumekubuhu.. najua hadi kukojoa mkojo ukahamia kwa jirani Kama umelalanae itaonekana ye ndo kajikojolea ipo namna ya kufanya..
 
Ntakufundisha usihofu hizo kazi wengine tulianza toka zamani Sana tumekubuhu.. najua hadi kukojoa mkojo ukahamia kwa jirani Kama umelalanae itaonekana ye ndo kajikojolea ipo namna ya kufanya..
Usinchekeshe mie nmekumbuka mdogo angu kakojoa had yupo std 6,
 
Usinchekeshe mie nmekumbuka mdogo angu kakojoa had yupo std 6,
Kumbe umekaa nanguli kabisa halafu unajifanya hujui hizo shughuli.. mbona hicho ni kipaji mngemuendeleza..😅
 
Kumbe umekaa nanguli kabisa halafu unajifanya hujui hizo shughuli.. mbona hicho ni kipaji mngemuendeleza..
Wee thubutuuuh yaan unajua mzee alikua anampa mbata ila wapi, had alivopelekwa kwa bibi ndo akapona, alipewa dawa ya kienyeji.
 
Wee thubutuuuh yaan unajua mzee alikua anampa mbata ila wapi, had alivopelekwa kwa bibi ndo akapona, alipewa dawa ya kienyeji.
Kaamua tu kuwastahi hakuna Cha dawa wala Nini..
Inaonekana we mkubwa wake nawe ulikuwa kiherehere unaenda kumsemelea..
 
Kaamua tu kuwastahi hakuna Cha dawa wala Nini..
Inaonekana we mkubwa wake nawe ulikuwa kiherehere unaenda kumsemelea..
Wala hata sio mie, maan mie nilifuatwa na twins, ndo akaja yeye, na sikuwah hata kumsemea achilia kulala Pa1.
So sikuwah pata adha yake hiyo.
 
Wala hata sio mie, maan mie nilifuatwa na twins, ndo akaja yeye, na sikuwah hata kumsemea achilia kulala Pa1.
So sikuwah pata adha yake hiyo.
Basi tufanye alirithi kwako sema we kipaji kilijificha ndani kwake kikachomoza nje..😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom