Nimkubali huyu mwanamke au?

Nimkubali huyu mwanamke au?

Mkuu anajihami tu Ili umuone siyo mpenda hela, ila utahonga tu iwe Sasa au baadae, amekuwekea target....tofauti na hapo atakutoa kafara😂😂😂 kwaajili ya shughuli zake....😂😂😂..natania tu
 
Sikuleta uzi mie, subiri had nilete uzi wangu kuhusiana na suala hili, afu utauliza hilo swali lako na utajibiwa vilivyo haswaaa,
Mpe ushauri mleta uzi.
Swali linakuhusu wewe personally
 
Hivi hata unaelewa? Au unaona fahali kujibizana na mie? Nimeshakujibu subiri had nilete uzi wangu ndo uulize afu uone km hautajibiwa.
Mpe ushauri mleza uzi.
Mleta uzi nimeshampa ushauri wangu.

Kilichobaki ni majibu yako your highness
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽

Wanaume wameisha siku hizi hadi aibu...kweli huu ni ushauri wa kukaa na kuanza kuomba tukusaidie mawazo
 
Kwa jinsi ulivyoelezea nakushauri usikurupuke kumkubari mda mwingine inaweza ikawa ana ujauzito na aliempa kamkimbia so anatafuta wa kumwachia msala
 
Kwa jinsi ulivyoelezea nakushauri usikurupuke kumkubari mda mwingine inaweza ikawa ana ujauzito na aliempa kamkimbia so anatafuta wa kumwachia msala
🤔🤔😇
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom