cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,297
Basi tufanye alirithi kwako sema we kipaji kilijificha ndani kwake kikachomoza nje..![]()

bas sawa.Basi tufanye alirithi kwako sema we kipaji kilijificha ndani kwake kikachomoza nje..![]()

bas sawa.Heart ain't brain😂😂😂 JF
🤣🤣🤣🤣 Bro unachezea zari hilo ..kukaukiwa damu kitu gani bhana..😂😂 utachunda na udomo zege wako oohhhooo🤣🤣 Mengine sio mazari ni mazarino unataka nikakaukiwe damu bro wako..
Woyoooo🤸🤸🤸 hayo ndiyo maneno bro..piga kelele kwa tiiii akeeee weuweeee...shangazi Mimi jamani😍😍Kwa kuwa sister wangu umetia tiki mi na msign in sasa ikibidi tunakuletea na katoto kakuite shangazi..😜
🤣🤣🤣🤣 Advertise tu hiyo brooo...huyo Wii ajiandae akija kichwakichwa..atakutana na za uso😂😂😂😂Dada gani huyu anaruka mpk sarakasi..😂😂 hapa nina dada au Nina mcheza Kung Fu..😅
Nafasi adimu hiyo mzee kitu imejileta yenyewYeye ni mzuri tu anashepu wenyewe wanaita utamu kunoga! Guu nikisema la bia nitakuwa simtendei haki, mtoto anaguu la whisky.
Shingo ndo tusiseme wanaita shingo la mnazi! Kwenye chuchu naomba nisiseme nitanogesha Mambo. Kiuno dondola si dondola nyigu si nyigu labda tu niseme Kama kilamba mwiko. Tuachane na hayo niende kwenye mada.
Weekend iliyoisha huyu kiumbe alinifata akanikuta nimeketi zangu nakunywa juisi kola yangu baridi nawaza nitabidisha vipi hicho kinywaji kiwe balimi! Alivyokuja tukasalimiana baada ya maongezi mawili matatu akatulia tuli then akaanza kuniuliza unakunywa nini?
Nikamwambia ni fanta akabisha. Mara akaomba nikamkatalia yeye alikuwa akisema anasikia harufu ya juisi kola!.. Anyway tuachane na hilo nililimaliza kiinjinia na alielewa si juisi kola japo alikubali kishingo upande.
Shida iliyokuwa imemleta alikuwa amekuja kuniambia kuwa ananipenda! Wala sikushangaa kwani hakuanza siku hiyo alianzaga na barua ila sikumjibu! So anachodai yeye ni kuwa anaona sitaki kumkubali kwakuwa nafikiri kuwa ati atakuwa akiniomba hela! Hili si tatizo bali tatizo kaniambia ati nisijali yeye hataniomba hata mia yangu atajitegemea. Sasa najiuliza huyu bibie anataka kuniweka kwenye mtego au?
Ushauri wenu wakuu isijekuwa ndo naenda kutolewa meno hivi hivi.
Inaonekana tutakaoenda motoni tutakuwa wengi sana

hamn kuna vitu sio vya kuacha kiukwel hyo nafas naitamanHuyo ni mbuzi kafia kwa muuza supu...Yeye ni mzuri tu anashepu wenyewe wanaita utamu kunoga! Guu nikisema la bia nitakuwa simtendei haki, mtoto anaguu la whisky.