Nimfuate au nikomae tu?

Nimfuate au nikomae tu?

TheMnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2022
Posts
738
Reaction score
1,899
Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)

Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!

Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!

Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!

Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.

Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!

Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!

Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!

Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
 
Piga chini fasta atakusumbua huyo mbele ya safari huko.
 
Una umri gani? Hakuna mwanamke hapo piga chini bila kujiuliza uliza
 
Mkuuu hawa viumbe sijui wapoje mi langu tuna mtt mdogo Ila kila siku linatishia kuondoka nilikua nalihesabu kwenye plan zangu Ila nshadelete linasema eti mi n Kam sponser akipt kwa kwenda atasepa ..nyambafuuu kwa mijianake yote isiyojielewa
 
Ndugu kama mnaweza kulea mtoto mbali mbali lea ila kama ni kutaka kuweka mke ndani kazi unayo bro!

Kuishi na mwanamke ambae hakuamini ni kazi sana kila siku wewe utakua ni wa kujieleza tu na bahati mbaya ni kua hata ukijieleza anakusikiliza tu ila anaamini kila alichoamua yeye.

Mwisho wa siku utakua unaishi maisha ya kua na hofu iliyopitiliza ili mradi tu usimkwaze.
 
Mkuuu hawa viumbe sijui wapoje mi langu tuna mtt mdogo Ila kila siku linatishia kuondoka nilikua nalihesabu kwenye plan zangu Ila nshadelete linasema eti mi n Kam sponser akipt kwa kwenda atasepa ..nyambafuuu kwa mijianake yote isiyojielewa
Duuuh, pole pia!
 
Achana na washauri wa JF bro. Huku kuna wasiopenda mema. Wewe sikiliza moyo usijudge kwa hii hisia maana saivi yumkini una hasira. Reason...kama unampenda na ana mwelekeo mzuri mtafute...ongeeni afu muishi...la kama humpendi na ulikua unapita basi fresh achana nae
 
Wakuu tuacheni kushauri upumbavu emu tuifanye Jf kuwa kama ile Jf ya mwanzo.
.
Wote tunaishi na wanawake hawa hawa lkn ushauri mnaompa jamaa sio kwamba nyie ndio mnafanyaga hivo.
.
Ndoa zina mambo mengi lalkn yapo maswala ya kuacha mke lkn bro hilo ni swala dgo sanaa usije muacha cha msingi ishi nae kwa akili tu na atakuelewa
.
Hao wanaokushauli umuache wenyewe wanachapiwa san wapenzi wao na bado wanakubali kushare afu ww wanakushauli umuache kisa tu kakuonea wivu..
 
Back
Top Bottom