Nimfanyeje huyu ndugu yangu?

Nimfanyeje huyu ndugu yangu?

Pole sana, jeshin kuna kuheshimiana sana hasa kwa mtu aliyekuzid cheo kama yeye ni askar wa kawaida (private) hata kama ana cheo jaribu kwenda makaon kwake waeleze hali halisi wajue jinsi ya kukusaidia kibinadam maana hapo hakuna kes kama huna ushahid kama ni ishu ya kwenda kikosin kwake kuna mkuu wa nidham (RSM) akiwa ni mtu mwenye utu anaweza kukusaidia kwa kumuita na kumtaka akurudishie ama kupatikana mbadala mwingine pia ili kujua cheo chake ebhu tuambie ana elimu gan ama ana muda gan jeshin?

kuitwa @mr mangi usijitoe ufahamu kwamba akili hauna,acha uraia
 
acha uraia ww kwahyo upanga ndyo walipeleka hayo maandishi ya makabidhiano na makubaliano?,kipindi wanakabidhiana walienda upanga?,au jeshi lilihusika?,unahisi upanga unaenda tu kama unavyo enda K/Koo?,imekula kwake hyoooo

Mbona huna huruma mkuu, toa mchango wako basi afanyaje naona unakatisha tu tamaa, au huyo tapeli wa kuaminiwa alichofanya unaona ni sahihi, kuhusu imekula kwake mtoa mada kashashema anajiribu kila awezalo akishindwa atanyoosha mikono. Jaribu kutoa michango constructive mkubwa usipende kuvunja watu moyo,
 
acha uraia ww kwahyo upanga ndyo walipeleka hayo maandishi ya makabidhiano na makubaliano?,kipindi wanakabidhiana walienda upanga?,au jeshi lilihusika?,unahisi upanga unaenda tu kama unavyo enda K/Koo?,imekula kwake hyoooo

kuitwa @mr mangi usijitoe ufahamu kwamba akili hauna,acha uraia

Ni kweli ndugu raamar and tunajua kuwa siyo kazi rahisi kutumia wakubwa wa TPDF kumsaidia ila hakuna kisichowezekana Bongo. Na especially kama akipata mtu wa kumsaidia. Tumepita JKT na pia tunao watu wengi wakubwa TPDF na JKT kwa hiyo hao wanaweza kumsaidia. Ila tunaona kuwa siyo njia sahihi zaidi.

Kwa hiyo usitumie nguvu au kutukana watu... we do know the system very well and how it can be manipulated.
 
Last edited by a moderator:
acha uraia ww kwahyo upanga ndyo walipeleka hayo maandishi ya makabidhiano na makubaliano?,kipindi wanakabidhiana walienda upanga?,au jeshi lilihusika?,unahisi upanga unaenda tu kama unavyo enda K/Koo?,imekula kwake hyoooo

Mkuu ndio wewe nini unayedaIwa??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwakweli sijui cheo chake ila ni askari wa kawaida alikuwa kwenye kada ya uhasibu pale

anavaa ni kwenye kombati yake "V" au nyota ngapi hii inatosha kujua cheo chake ma namna ya kudeal naye humu kuna maafisa wa jeshi wanaochukia upumbavupumbavu jeshini watakusaidia
 
Aisee watu hawana imani pole sana yaani huyo jamaa angekuwa km mm sijui angezulumu wangapi maana nakaa na ela za watu zaidi ya m20.

Fanya km watu wanavokushauri ukishindwa mpige ndumba tuu
 
wala usipoteze muda, nenda kwa wakubwa zake, waambie amekutapeli, wala usihangaike sijui ushahidi wala nini, wana taatibu zao za kiinteliginsia,,, na watajua ukweli atakatwa mshahara wake mpaka deni liishe...usipoteze muda hachengi huyo.
 
Kama vyote hivyo unavyo, mbona amekwisha, hebu lete rank (cheo )chake hapa
 
Hizo sms zipo na conversation whatsap zipo pia ndio nataka nizitumie kule jeshini kama kithibitisho mkuu. Asante sana The Boss

ila kuwa makini sana maana mwenzako hana tena akili kama zako za kiraia anaweza kukudhuru ama kukutumia watu, ila ukifika kwa wakubwa wake lazima akae na awe mdogo kama piriton
 
Last edited by a moderator:
wala usipoteze muda, nenda kwa wakubwa zake, waambie amekutapeli, wala usihangaike sijui ushahidi wala nini, wana taatibu zao za kiinteliginsia,,, na watajua ukweli atakatwa mshahara wake mpaka deni liishe...usipoteze muda hachengi huyo.

Asante mkuu nitaleta mrejesho hapa
 
huyo hadi kufanya hivyo inaonesha wazi anajiamini sana, na amejipanga, usiende kichwa kichwa tu utashangaa wew ndo unaonekana mwizi. Nb; chunguza issue fulani fulani before going to report. pesa mwana haramu jamaa kanunua kiwanja na ....... au:clap2:
 
Back
Top Bottom