Pole sana, jeshin kuna kuheshimiana sana hasa kwa mtu aliyekuzid cheo kama yeye ni askar wa kawaida (private) hata kama ana cheo jaribu kwenda makaon kwake waeleze hali halisi wajue jinsi ya kukusaidia kibinadam maana hapo hakuna kes kama huna ushahid kama ni ishu ya kwenda kikosin kwake kuna mkuu wa nidham (RSM) akiwa ni mtu mwenye utu anaweza kukusaidia kwa kumuita na kumtaka akurudishie ama kupatikana mbadala mwingine pia ili kujua cheo chake ebhu tuambie ana elimu gan ama ana muda gan jeshin?
Ni kweli kabisa siwezi kumuamini mtu tena
Unaweza kwenda kazini kwake lakini uwezekano wa kusaidiwa utategemea aina ya boss wake kwa sababu haya ni mambo ya kifamilia. Kwa sasa tatuta pesa za benk kwa njia yoyote ukalipe. Pia jipande kisakolojia kukabiliana na hili suala la kudhurumiwa na ndugu. Chance ya kupata hizo pesa ni ndogo sana!
Ila anza tu kulipa deni kama kawaida
endelea tu na rejesho hawatauza nyumba
Kulipa naendelea tatizo by March ndio mwisho na deni ni kubwa nikimuuliza anaweza asijibu mara ya mwisho alisema "the solution is in my hand and not the way you think ...nitakuumbua soon" hiyo ni text kutoka kwake
Huyo dawa yake kamharibie everywhere
kama ulimtumia kwa simu kaandikishe kesi ya wizi kwa kuaminiwa
risiti za tigo pesa ni ushhahidi tosha
na kama sms za kumsisitiza apeleke bank unaweza kumfunga
kuhusu deni ongea na bank officer mmpewe mda zaidi
watawapa
Hizo sms zipo na conversation whatsap zipo pia ndio nataka nizitumie kule jeshini kama kithibitisho mkuu
Asante nitajaribu kwenda tu na nitajaribu ikishindikana basi lakini niwe nimejaribu
Huyo dawa yake kamharibie everywhere
kama ulimtumia kwa simu kaandikishe kesi ya wizi kwa kuaminiwa
risiti za tigo pesa ni ushhahidi tosha
na kama sms za kumsisitiza apeleke bank unaweza kumfunga
kuhusu deni ongea na bank officer mmpewe mda zaidi
watawapa
Hizo sms zipo na conversation whatsap zipo pia ndio nataka nizitumie kule jeshini kama kithibitisho mkuu. Asante sana The Boss
nenda polisi kwanza
kosa ni wizi kwa kuaminiwa
upate na risiti za tigo pesa
unamfunga kiulaini tu
hataki kufungwa akulipe
Nenda kamshtaki, kwa mkubw wake hapo, akizngua nenda upanga na jeuri itamwisha aache kuonea raia huyo
lara 1 a.k.a Kerry Washington?. Scandal....I love this show!.Nenda pemba yakheeeeeeee, wiki tu atakurudishia vyote na ribaaa!