Nimfanyeje huyu mzee?

Nimfanyeje huyu mzee?

mzee safi sana hataki mambo ya ubwete kakupa za uso live live. yeye anachotaka ni hela tu, mpe pesa akupe frem. kijana acha ubwete. ujamaa ulikufa na nyerere.
 
Suala la msingi ni kwamba, je alimshirikisha mzee wakati anapanga hiyo biashara na partner wake? Umeskia kabisa kuwa yeye hawezi kulipia chumba cha mamilioni, na bado anakitaka wakati anajua biashara yake ni ya kiwango cha chini na haileti maana kiuchumi yeye kufanya biashara kwenye hicho chumba?!!..kwa hakika kama angemshirikisha mzee angejua jinsi ya kumsaidia hata kwa mawazo au kumwazima pesa akalipe pango sehemu. Mwisho wa siku biashara inabaki kuwa biashara, ukiingiza undugu inakula kwako. Mleta mada mwenyewe anaadmit nyumba ni ya bei ghali, inamaana biashara yake ni ya bei rahisi, mambo hayo mawili hayachangamani, akae vizuri tu na mzee wake aazime hata pesa akapange, wewe unategemea kushikwa mkono kuanzia kwenye kumega mpaka kupeleka tonge mdomoni! Mzee yuko sahihi kabisa, kama ndiyo kijana wake mwenyewe wa kuuliza "nimfanye nini huyu mzee"...unategemea nini, inamaana hakuna ukaribu wa sana kati ya baba na mwana!
unafikiria ukaribu utakuwepo kwa dingi kama huyu? Wawekezaji wanawezeshwa ndo utashindwa kumuwezesha mwanao?
 
Habari wadau.
Mzee wangu ni wale wazee wa miaka ilee maisha ya soft tach ( Maisha rahisi). Yaani enzi zilee za mashirika kwa hiyo wao maisha ni marahisi tu. Pia anasehemu zake za biashara maeneo ya ilala kama landlord mwisho wa mwezi anazikinga nyingiii.
Mzee mzima baada ya kuona hali hii nikaona ni neema kwangu hivyo oviaz nilijua nikimwomba goli mojawapo hatoninyima asilani.
Nikaanza tafuta mtaji kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali pia tukishauriana aina ya biashara ya kufanya.
Wakati mchakato ukiendelea vyema ghafla mshua akawapangisha wafanya biashara wengine. daah imeniuma sana.
Kiukweli siwezi ku afford kulipa karo sehemu kama hii ambayo very market place, na kodi yake iko higher sana.
Nahisi kudata sasa nifanyeje? wadau nao hawanielewi kabisa wanaona dizaini kama nilikua nataka niwatapeli vile baada ya kuwaona other guys wana operate sehemu ile.
Nimemshukia mshua amenijibu simpo tu. 'what i need is money'!
Daah maisha haya we acha tu.


Halafu Mkuu story zako ni za kidizaini flani ivi ya kushirikishana huzuni!!
Ushawahi kuja na Uzi wa kuumia kwa kukosa kazi, pole sana lakini - utawin tu.
https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/682938-hii-imeniuma-sana.html
 
unafikiria ukaribu utakuwepo kwa dingi kama huyu? Wawekezaji wanawezeshwa ndo utashindwa kumuwezesha mwanao?

Mkuu ukaribu lazima uwepo kama kweli unataka msaada wake kama kuongea naye face to face ni ngumu tafuta mzee mwenye hekima awasuluhishe maana haijulikani nani aliyekosea. Wewe kuwa chini tu usitake ligi naye na kama wewe ndo umekosea omba msamaha, kuna watu wanahangaika hawana mitaji wewe kwa maelezo yako mshua wako yuko njema fuata ushauri wangu ili usipotee kwa ngada ukipa business idea leta hapa jamvini tukupe mawazo.
KIJANA NI NGUVU KAZI YA TAIFA.
 
mkuu ukaribu lazima uwepo kama kweli unataka msaada wake kama kuongea naye face to face ni ngumu tafuta mzee mwenye hekima awasuluhishe maana haijulikani nani aliyekosea. Wewe kuwa chini tu usitake ligi naye na kama wewe ndo umekosea omba msamaha, kuna watu wanahangaika hawana mitaji wewe kwa maelezo yako mshua wako yuko njema fuata ushauri wangu ili usipotee kwa ngada ukipa business idea leta hapa jamvini tukupe mawazo.
Kijana ni nguvu kazi ya taifa.

wakuu mie namsupport dingi wa hyu jamaa coz mzee sometimes aweza kuwa na watoto zaidi ya 1 na akientertain huu mchezo ujue kila mtoto ataishia kuomba frame na mbaya zaidi hii partnerhip ya kustukiza mara nyingi ina hila na mtt wa mwenye mali hushawishiwa na partners hata kuua mzee wake ili amiliki estate na vyote vlivyo chini ya mzee! Ukiona mtt anataka kfanyia biashara kwao na wazo kapewa na partners wenzake juu huyu anawaza ndan ya box na wenzak c waaminifu coz wanaanzia wapi kufugua bness pacpo kuandaa gharama halis za bness yao? Mzee huyu hope shule yake imesimama vzr na anatazama mbali sana. Kijana open ur eyes utauzwa wewe na mzee wko japo mzee kabaini mchezo wote mapema.
 
wakuu mie namsupport dingi wa hyu jamaa coz mzee sometimes aweza kuwa na watoto zaidi ya 1 na akientertain huu mchezo ujue kila mtoto ataishia kuomba frame na mbaya zaidi hii partnerhip ya kustukiza mara nyingi ina hila na mtt wa mwenye mali hushawishiwa na partners hata kuua mzee wake ili amiliki estate na vyote vlivyo chini ya mzee! Ukiona mtt anataka kfanyia biashara kwao na wazo kapewa na partners wenzake juu huyu anawaza ndan ya box na wenzak c waaminifu coz wanaanzia wapi kufugua bness pacpo kuandaa gharama halis za bness yao? Mzee huyu hope shule yake imesimama vzr na anatazama mbali sana. Kijana open ur eyes utauzwa wewe na mzee wko japo mzee kabaini mchezo wote mapema.
I'm a Man with Strong Sound mind. More than you think on who I am. It was just a kinder of way I thought could reach me there in my Success. and I'm sure I gonna win it on either way round in the name of God.
 
i'm a man with strong sound mind. More than you think on who i am. It was just a kinder of way i thought could reach me there in my success. And i'm sure i gonna win it on either way round in the name of god.

hope that is only point ur father wants to pass through own thought, ur maturity will get a support from ur father and soon u will see success. Therefore act like a man surely your father will work close to you. Mine is just thout only coz most of youth were forced or technically attracted in same cheap partnership bt its end the story get its reality. It was just advice i am happy to hear that you seriously love ur daddy. All the best in ur alternative plan hope ur father will join u ahead the route
 
Tafuta banda lako la biashara, acha kulia lia na mali za babayako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom