Nimfanyeje huyu mke?

Pole, ulitakiwa kumuelewesha mapema kuwa bosi wako ni mwanamke, pia anaweza piga simu kwa issue za kiofisi.Lakini kwa kuwa imeshatokea tafuta adhabu kali ya kumpatia
 
....bosi na mkeo wote akili zao sawa!hizo nyasi mlishe mke sasa ajioneee
 
huyo boss nae ni fake!!!

Nami nina mashaka na huyo bosi mwenyewe, anapiga simu kabla hata hujatoka (naamini muda utakuwa ni alfajiri ya kutosha tu), kwani ulisema hutaenda kazini siku hiyo? Au anaomba umsaidie kununua vitafunio on your way?
 
hapo kaka una makosa wewe hamna mke atakae stahamili eti boss wako akupigie mida hiyo lazima atafikiria kama we upo nae
 
pole mkuu hii ni laana kwa wanawake wengi wanamatatizo yanayofanana kwa hito tunahitaji kuwa nao kwa uangalifu sana
 
Mpe mkeo jukumu la kulea hiyo familia kwa sasa ili ajue alichofanya ni nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom