nimfanye nini "mke" huyu?

nimfanye nini "mke" huyu?

mimi siwezi kumuongelea kwa7babu mambo yake nayajua mimi labda uniambie ana wasiwasi na mimi yani uwamimifu amna
Wewe ndo unajua kiwango chako cha uaminifu. Cha kufanya mhakikishie kwamba wewe mwaminifu na umuoneshe unampenda, mwanamke akifanya kitu usichomtegemea Mara nyingi kuna sababu
 
Sasa kama unaelewa anakutishia kwa nn unatishika! Sasa kama havipangiki umekosa hata ujasiri wa kusimamia vitu ? Au unapenda chuma ulete?
 
Wewe ndo unajua kiwango chako cha uaminifu. Cha kufanya mhakikishie kwamba wewe mwaminifu na umuoneshe unampenda, mwanamke akifanya kitu usichomtegemea Mara nyingi kuna sababu

kuna jambo ambalo anapenda sana kunishutu nami silipendi kila akinipigia cm ni lazima aniulize nipo na mwanamke gani mara mbona upokei cm ulikuwa na mwanamke mwingine sasa sijui ni wivu au nini?
 
Tumia principle mbili za Mh. Pinda
1. Watapigwa tu..............
2. Liwalo na liwe.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom