nimfanye nini "mke" huyu?

nimfanye nini "mke" huyu?

ukweli nipo kwenye husiano lakini balaa tu mke ana uwezo mme mtupu tunaishi tu atujaoana ukweli nikama kaniweka ndani tangu tumekutana sijawai kuwa na faida nae kimaisha yeye akija kwangu anataka nimgegede tu tukipanga avi pangiki niki muuliza mstakabali wa maisha anaitikia tu niki mwambia tuachane anadai ananipenda na ananitishia atanifanya kitu mbaya "ushauri wenu nifanye je jamani niepukane na hili janga"
si mnajifanya mnataka wanawake wanaojiwezaa? Huyo ndo anajiweza sasa
 
Anataka uendelee kumgegeda tu, hataki mambo yako ya kupanga naye mipango ya kimaisha. Mipango ya kimaisha panga mwenyewe au tafuta mwenye akili ya kupanga naye mipango ya kimaisha huyu anataka mgegedo tu na ukimnyima mgegedo ole wako atakufanya kitu mbaya sana hata kukupeleka mabwepande kukungo'a kucha bila ngazi.

sasa unanitisha au?
 
Last edited by a moderator:
yani nimefupisha tu kwani sijui ana pepo gani kama kumzingu nishafanyana sana tu ataki nimuache eti atafanya lolote nikiachana nae

lolote lipi wewe?

hebu na wewe fanya lolote ili na yeye afanye lolote halafu tuone kama wote mtafanya lolote!!!

kwanini mnatishana bila lolote?
 
Wewe kaa tu, usijefanywa kitu mbaya. Si unapenda vya bure?
 
kwani wewe uwataki ao wanaojiweza na sio wote we nye---?acha nizinduke
Hapo kwenye dash apo communication barrier. Toka enzi za adamu mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho, mwanamke hakuambiwa hivyo- kwa maana hiyo anayetakiwa kutafuta mtu anayejiweza namaanisha kiuchumi ni mwanamke, mwanaume kazi yake kutafuta. Kwa mujibu wa stori yako inaonekana ulitarajia kufanikiwa kwa kuwa na huyu mwanamke.
 
kwani cha ajabu nini kuwa na "mke" mwenye uwezo au? mjini mipango wewe ngoja likukute wewe nione kama utaruka
 
kwani cha ajabu nini kuwa na "mke" mwenye uwezo au? mjini mipango wewe ngoja likukute wewe nione kama utaruka
Sio cha ajabu,Kama mnapendana kweli sawa.
tasfiri ya vitendo vya huyo mwanamke ni kwamba anakutumia kama kiburudisho maana amegundua hujatulia na ukizingatia humsaidii kwa lolote so anakutumia huku akicheki future yake kivyake yani hamna mipango ya pamoja yani anakuona unamtumia wewe na yeye akutumie hadi atakapokuchoka yani ni kama kisasi flani aridhike. Ukimwacha uwe na mpenzi mwingine atafanya kila mbinu akuharibie hata kwa kuongea vitu vya ajabu kwa mpenzi wako ili aumie akuache uumie na wewe.
 
mimi siwezi kumuongelea kwa7babu mambo yake nayajua mimi labda uniambie ana wasiwasi na mimi yani uwamimifu amna
 
Mara mke mara hamjaoana!acha woga wewe unatishiwa maneno nawewe unatishika kwanza hamjaoana pili hamna mnalolipanga,chamuhimu ni kutizama upendo wako na wake, kama mnapendana mnaishi tu acha woga chukua hatua!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom