- Thread starter
- #41
duuh muache tu..ndo tabia siku hizi kutishiana..
da! nakuwaidi ni kimwacha nitaru apa tena kuwajulisha
duuh muache tu..ndo tabia siku hizi kutishiana..
wewe bado uaonekana ni mvulana ukiwa mwanaume utafanya maamuzi ya kiuwanaume
Kaka hebu jikaze basi uache kutuaibisha wanaume wenzio...au weye ni mvulana?
Sasa ndo nini hii jamani yaani wewe msakabali wa maisha yako unategemea kwa mwanamke ambaye hata hujamuoa? kwani bila yeye maisha yako ndio yamefika mwisho? achana na akili za kushikiwa ndugu yangu tafuta chako uweze kuamua yako.
ukweli nipo kwenye husiano lakini balaa tu mke ana uwezo mme mtupu tunaishi tu atujaoana ukweli nikama kaniweka ndani tangu tumekutana sijawai kuwa na faida nae kimaisha yeye akija kwangu anataka nimgegede tu tukipanga avi pangiki niki muuliza mstakabali wa maisha anaitikia tu niki mwambia tuachane anadai ananipenda na ananitishia atanifanya kitu mbaya "ushauri wenu nifanye je jamani niepukane na hili janga"

Hata haogopi, macho makavu eti anataka faida kutoka kwa hawara. Hivi unahakika uko pekeyako best? Weka na CV yako tujaribu kukupa fursa
kijana,
vitabu vya dini vinasema mwanamke ni kiumbe dhaifu! hilo halipingiki!
hata awe na mali nyingi kiasi gani, still atakuwa chini ya ya mwanaume, hata kama akiwa mtoto wa darasa la pili, ilhali tu ni mume wake halali!
wewe umekuwa too calm kwa huyo mkeo, inaonekana hujawahi hata kufoka hata kama kakukosea!!
weka msimamo wewe!!!
mzingue siku moja wala hata usiangalie ana nini!
Unakubali kuwekwa ndani mwanaume....stuka mkuu achana nae huyo usiogope kulogwa
Shenzi kabisa.
Sasa ndo nini hii jamani yaani wewe msakabali wa maisha yako unategemea kwa mwanamke ambaye hata hujamuoa? kwani bila yeye maisha yako ndio yamefika mwisho? achana na akili za kushikiwa ndugu yangu tafuta chako uweze kuamua yako.
Mke mwema ni nani atakae muona.????
tatizo hujiamini