Jaman mlipie tu ukimnyima ndo atajiuza bure! Ukute kodi yenyewe hata kitanda hainunuiNimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Ukute ni wapenzi wa mpira na siyo wapenzi wa kudinyanaMna uhusiano wa ki mapenzi?
Itakuwa 😹😹Ukute ni wapenzi wa mpira na siyo wapenzi wa kudinyana
Hii dunia wajinga hawaishiItakuwa 😹😹