wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,411
- 2,475
Utakuta hajawahi hata kukilamba kitumbua chenyewe.Kitumbua alikua anakupea wap?
Utakuta hajawahi hata kukilamba kitumbua chenyewe.Kitumbua alikua anakupea wap?
Mnatupotezea muda aise.Nimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Ndiyo maana sisiem kila mwaka wa uchaguzi inashinda tu kwa sababu ya mambumbu kama hilo ni mtaji tosha wa wanyonyaji na yako mengi sana so yanakua manipulated tu kirahisi...Nimejikuta nawaza hivi mwanamke atanifanyia nini mpaka niamue kumlipia kodi nimekosa majibu.
Kwaiyo kama anakaa kwao na unataka utawala na wewe umeoa mtakulana gest kila sikuNimejikuta nawaza hivi mwanamke atanifanyia nini mpaka niamue kumlipia kodi nimekosa majibu.
jibu unaloNimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Lipa tenaNimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Intelligent businessmanHakuna mwanaume atakayezikwa na govi, as long am working hapa mortuary 😎😎😎😎
Vijana wame kuwa inspired
naiona jf ikienda kubaki na watu wachache,, .maana mods watawala vichwa mpaka akili ziwakae sawa. halafu mwanzilishi umetulia tu na ujobleas pro maxVijana wame kuwa inspired
🤣🤣Mlipie tena
We n nani kwake em jiongeze na wwNimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe