Nimfanye nini huyu mwanamke?

Nimfanye nini huyu mwanamke?

Nimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Nilipie na mimi mahabuba
 
WAJINGA NDIO WALIWAO MKUU

AFU WAZEE WALISEMA

Mwanamke kama hakusikii na sikio la juu BASI jitahidi sana akusikie kwa kutumia sikio la chini
 
Samahani wote ambao mmechanganywa na mada. Mimi ni mwanaume, anayeniletea udwanzi ni mwanamke. Kichwa cha habari kinasomeka MWANAUME, ni makosa ya uandishi tu
 
Duh siku hizi wanawake mnatulipia kodi wanaume aisee jamaa ana bahati au anavokulomba anatia kinyeo kidole dah jamaa mganga wake fundi sio mbaya kumlipia bwana wako kodi dada yangu.
 
Back
Top Bottom