Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,125
- Thread starter
-
- #21
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@Mkuu umetupa weakness zake tu tunaomba utuambie na mazuri yake ili tupime kwenye mzani tuone kilichozidi na tutoe ushauri sasa.
Kamanda wewe ni mwanaume mpoa sana umebarikiwa ila uko na mwanamke pepo, nahisi yupo demu poa umemtelekeza au umedharau, hakuna mwanamke hatari kama muongo,mnunaji na anaekunyima unyumba. Usimchukua mwanamke kwa zinaa au kwa muonekano wake.Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa
Twende kwenye mada
Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani
Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa
Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...
Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje
Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?
Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Kwa hiyo unataka upewe nini mkuu zaidi yake?Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Sasa mbona mzani umezidi kwenye mazuri yake mkuu, kiukweli hakuna binadamu asiye na mapungufu hata wewe hapo tukimuuliza yeye anayo mapungufu mengi tu kuhusu wewe. Hayo mapungufu kidogo unaweza ukazidi kukaa naye na kumrekebisha inaweza saidia. Changanya na zako mkuuUzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Ndio mana naipenda jf[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mkuu nimepata kituSasa mbona mzani umezidi kwenye mazuri yake mkuu, kiukweli hakuna binadamu asiye na mapungufu hata wewe hapo tukimuuliza yeye anayo mapungufu mengi tu kuhusu wewe. Hayo mapungufu kidogo unaweza ukazidi kukaa naye na kumrekebisha inaweza saidia. Changanya na zako mkuu
Hilo hata nilikotoka ilikuwa hivyo ex wangu niliwahi mkuta gest na jamaa alafu sikusema lolote nikamzidishia mapenzi afu nikamuweka pembeni sio siri alijutia sana mpaka kesho tukionana huoniomba msamaa japo alishaomba kwahy Mkuu nimezoea kusalitiwa na nmejipanga kiaaikolojiaIlishasema ukiwa huna hela atakununia au kunyimwa unyumba ,ipo siku huna hela atachekewa mwenye hela na kuliwa uroda
Mbona una maamuzi yako sasa ushauri wa niniHilo hata nilikotoka ilikuwa hivyo ex wangu niliwahi mkuta gest na jamaa alafu sikusema lolote nikamzidishia mapenzi afu nikamuweka pembeni sio siri alijutia sana mpaka kesho tukionana huoniomba msamaa japo alishaomba kwahy Mkuu nimezoea kusalitiwa na nmejipanga kiaaikolojia
Hapa kwa huyu nalia na kudanganywa tu ila nje atoke tu sijali
Hayaamini maamuzi yake (hajiamini)mbona una maamuzi yako sasa ushauri wa nini
Napenda tu kujua kutoka kwenu wakuu wangu je nikwaaida kwa mwanamke kudanganya mme wake maana sio mzoefu hukombona una maamuzi yako sasa ushauri wa nini
[emoji120][emoji120][emoji120]Hayaamini maamuzi yake (hajiamini)
Uandishi wake unaonyesha ana miaka 27+-
Si vibaya kumsaidia ushauri....
Ushauri wangu
---------------
Asipende/asizoee sana kuomba ushauri mitandaoni.
Huku kuna miluzi mingi.
Umeongea kwa jazba mkuuNajua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa
Twende kwenye mada
Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani
Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa
Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...
Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje
Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?
Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Hapana Mkuu ila kama kweli hivi umejuajeUmeongea kwa jazba mkuu
Kama me sikipi kama ke utaipataNitumie namba yake PM nimpe ushauri Nasaha,mimi ni Mwanasaikolojia
Then kasome tena nilichokushauri. Huyo binti unampa majukumu ambayo yeye anaona hayamuhusu. Amejiandaa kuwa mke wa mtu sio mpambanaji mwenzako wa maisha.Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan