Nimfanye nini huyu msichana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimfanye nini huyu msichana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mashizo, Jul 25, 2011.

 1. m

  mashizo Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  habari zenu wana jamvi.mimi nipo ughaibuni huku nasoma,sasa kuna msichana mmoja tuna uhusiano wa karibu miezi kumi sasa.kabla yangu mimi huyu msichana kashawahi kuwa na relationships mbili,wa kwanza waliachana kwa ugomvi sana na mpaka sasa ata wakikutana njiani ni kama maadui vile,ila huyu wa pili jamaa alikuja kusoma kwa semester moja then walikuwa wapenzi kwa karibu miezi miwili na nusu kisha jamaa akarudi kwao.ila kinachonitatiza mimi ni kwamba bado wana mawasiliano kwenye internet especially in facebook.miezi kama mitatu hivi iliyopita jamaa alimwambia msichana kwamba anataka kuja tena kusoma kwa summer time pekee ila alimwambia demu kuwa je akija wataweza kufanya mapenzi tena au la?basi msichana akawa amechanganyikiwa kweli ikabidi aje aniambie mimi maana anadai yeye jamaa anamchulia kama rafiki yake,mimi nikamwambia yeye uamuzi wake ukoje? demu akasema itabidi afikilie maana kachanganyikiwa hajui afanye nini ila mimi nikamwambia kwa kipindi hicho anachofikilia itabidi tuwe just friends na sio wapenzi demu akakubali japo kwa shingo upande.baada ya wiki moja na nusu demu akataka tukutane tuongee mimi sikuwa na kinyongo tukakutana then demu akasema kwamba anavyoona yeye jamaa anataka kumchezea tu then atamuacha kama alivyomuacha mwanzo then akaomba msamaa ili tuwe pamoja maana mimi ndio anaona mtu ninayemfaa sana kuja kuwa baba wa familia yake,mimi nikamsamehe japo kwa shingo upande,basi tukaendeleza uhusiano wetu kwa karibu miezi minne tunafurahi na kusahau yote yaliyopita.sasa tatizo linakuja yeye bado sometimes anaendelea kuchati na huyo jamaa yake japo huyu msichana ananiheshimu sana hana mambo ya kipuuzi,sasa last week alikuja kwangu kulala tukafanya mapenzi kama kawaida then kulala sasa katikati ya usiku demu akamuota jamaa yake huyo anaechati nae sometimes,asubuhi kuamka akaniambia ameota ndoto mbaya sana nikajaribu kumdadisi ila akusema kitu then next day akaja akniambia kuhusu hiyo ndoto ila imemchanganya sana kwa sababu yeye yuko na mimi tumelala pamoja sasa kwa nini amuote jamaa basi demu akawa kachanganyikiwa tena, mimi nikamuambia ile ni ndoto tu na si kweli demu akakomaa anadai inabidi afikilie ile ndoto inamaanisha nini maana ataki kuja kunibetray baadae maana ananipenda sana na mimi ni mwema sana kwake.akaenda kujadiliana na rafiki zake huko then akaja anasema eti ile ni ndoto tu na sasa hivi haipi sana uzito then tuendelee tu na uhusiano wetu kama kawaida.mimi ikabidi nisafiri kwa siku tatu kwenda kula bata then nikirudi nifikilie nini nitafanya,sasa leo ndio tunakutana tena sasa wadau mnanishauri nimwambie nini huyu msichana?nimuache au niendelee nae tu? ila demu mwenyewe ni mzungu ana 22 years old
   
 2. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi nyinyi kupeendwa mnakupimaje?? na kutendwa kwenu ni kupi???..Nikisoma stori yako naona kama unafanyiwa vituko 'daily'..lakini bado naona unasisitiza tu..ooh..ananipenda..oooh.ananiamini..oh..mie ni wa muhimu kwake..funguka macho, chukua hatua
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Pumbatupu msamehe hiyo ndio topic yake ya kwanza
  kKwanza inachosha kusoma maana hata para hakuna. pili hapo sidhani kama ana mapenzi na wewe hapo anataka tuu mtu wa kumliwaza kwa upweke alio nao. Huwezi sema eti mtu anakupenda na mmefanya mapenzi na kati kati ya usiku amuote mtu wake wa zamani. Hapo inaelekea hata wakati wa kufanya mapenzi alikuwa hana hisia yoyote na wewe ilikuwa anamuwaza jamaa yake wa zamani. Chukua hatua mapema
   
 4. m

  mchongi Senior Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! kaka hayo hujitokeza mara kwa mara japo dawa yake ni wawili hao kujitahidi kusahau yaliyopita na kujua kuwa ninyi wawili ndo alfa na omega. nashauri leo mkikutana jaribu kukaa na huyo mzungu "demu" mjadili suala hili kwa kina na mwombe awe muwazi kwako maana msipoweka sawa haya mambo later itakuwa taabu na mtaishia kuumizana roho na visasi. na mpe last chance ukiona kaibuka na tukio lingine jua huyo si riziki kwako. kumbuka mapenzi kwa wenzetu ni tofauti na sisi weusi. uamuzi wa mwisho unabaki mikononi mwako kaka. usisahau masomo maana hilo haswa ndo lililokupeleka huko "samahani kuingilia suala lingine"
   
 5. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahisi kusinzia vile......subiri nikiamka!
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mnyampaa mpe ushauri mwenzio hapo maana ukisinzia unaweza kupitiliza kulala mpaka kesho
   
 7. m

  mashizo Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako murua
   
 8. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unajua Mr Rocky hawa ndo wale..nina demu mzungu meeeeeeeen..
   
 9. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Una maana gani kusherehesha mwishoni kuwa demu mwenyewe ni mzungu??? Basi atakuwa mzungumasai aka mzungu koko, anawanyatia tu nyie wa kuja!! Subiri wataalam wakupe ushauri.
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Angalia vyema tuu usije ukawa unapalilia penzi la mtu mwingine. Jitahidi sana ujue kwa nini hajaaacha mawasiliano na huyo jamaa yake na kwa nini wanazidi kuwasiliana wakati anasema hana mlpango nae. Usije ukawa wewe unatumika zaidi kuondoa upweke wakati mapenzi yako kwa jamaa yake huyo.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Endelea nae kama unataka maisha yenu yote yawe yanaamuliwa na ndoto/msg/uwepo wa mshkaji.
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Pumbatupu nilikuwa sijaiona hiyo ya mwisho hapo
  Ahhh nishapata issue hapo jamaa anatumiwa tuu kumtosheleza dem matamanio yake ila hana mpango nae
   
 13. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hamna kitu hapo labda Kama unatafuta makaratasi!
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mzungu anakuzingua mpaka unasahau maadili yako ya kiafrika,.....funguka na uchukue hatua
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Yaani na alivoiweka sasa.......''ila demu mwenyewe ni mzungu''....nahisi ndo panamuongezea na ugumu wa kuamua kabisa!Sidhani kuna mtu aweza kukuambia umuache au muendelee, wewe ndo mwamuzi. Ila hayo mapenzi yenu mmmh yamekupa viashiria vya kutosha kuwa utaambulia patupu.Na una moyo wa chuma kijana. Hongera zako. Hayo yoote unaelezwa lakini umo tu?
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Na bado anajiona kuwa anapendwa na anathaminiwa
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  WEEE...DOGO ACHA UPUUZI...SOMA.. MSHIKE SANA ELIMU USIMUACHE AENDE ZAKE..DEMU MZUNGU NDIO NINI SASA?..SO WHAT..NDIO NI MZUNGU, BLONDE ETC...SOO WHAT??...kwa hiyo unataka kusema wewe huna-Maujanja kwa demu hasa akishakuwa mzungu ndio unakuja kuchukua ushauri jamvini kwetu?... demu wako wa kwanza nini?...kama nakuona ulivyojiandaa kuwa spare-tyre...akija mshkaji unamwagwa akiondoka unaziba pengo....dogo huyo ni kicheche tena kicheche pori huwezi kuwa unamgonga ngozi badala akuote wewe anamwota basha wake anayemkuna ipasavyo...acha utoto n BE A MAN ENOUGH TO TELL THAT BI)&*TCH GO TO HELL. ...sorry kiddo am actin a lil weird cuz u aint rep ur real daddy...AM JUST LIKE DAD 2 U.
   
 18. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  vituko vituko!!
   
 19. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ila demu mwenyewe ni mzungu and 22 years old......so what hata kama angekuwa mchina haijustify kukuchezea akili namna hiyo......demu hana mambo ya kipuuzi..unataka upuuzi upi zaidi ya huo. Ukweli na kwamba huyo demu hajatulia hata kidogo na inaonekana IQ yake ni ndogo sana. Sasa ngoja nikupe story ambayo mi mwenyewe ilinikuta, inafanana sana na yako, nilikutana na msichana wa kimaasai tena mzuri hasa nikamtongoza akakubali ila wakati namuapproach alikuwa ameachana na jamaa yake kama mieze 4-5 hivi, akakubali ila kila siku tukikaa haishi kumuongelea jamaa yake huyo, mara leo nimemuota, mara alikuwa anampenda, mara akitokea tutafanyaje. Mimi nikamsoma, na siku ya kwanza kufanya nae mapenzi alikuja gheto kwangu mbio usiku wa manane tukiwa field porini anasema ameota ndoto mbaya sana kuhusu mpenzi wake......katika kumbembeleza na kumweleza kuwa ni ndoto tu akalegea kifuani na nikagonga mzigo. Maisha yakaendelea na vituko vikaendelea nilichofanya niliamua kumtreat kama changu tu nikawa nagonga siku nikiwa na nyege zangu. Huwezi amini alikuja kubeba mimba ya jamaa lakini bado analeta mi nagonga mpaka nilipommwaga rasmi. Kuwa mwanaume wacha kushoboka na wazungu. Kwanza african ladies wazuri sana na watamu.
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu na huo mkasa,nianze kwa kusema kua huyu mpenzi still anampenda huyo jamaa ake swala la kusema ati kamuota mchizi tena uko nae mie napata wasiwasi sana,pili nina mashaka nae kuendeleza mawasiliano na mtu ambae ameachana nae kwa ukaribu zaidi cjui custom za wenzetu ,lakn lingine ulishawahi kumwambia asitishe communication na huyo mchizi? Kama true ulishawah mwambia na anaendelea basi kuna tatizo mkuu na muombe afanye hvyo,lakn la msingi mkuu kama umuhitaji wa wadada wa huko jaribu kutulia upate msichana mwingine au muombe Mungu akuongoze kwenye maombi ili akuonesha kama kweli huyo ni mke wako wa baadae haya yanawezekana kabisa so jaribu uone
   
Loading...