Nimfanye nini huyu msichana

Kijana mtumie kupunguza tamaa zako 2 za kimwil kwisha usiumize kichwa na kimaadil achana nae endelea na maisha
 
njozi ni nini? zaweza kuwa ni matukio yaliyopita au hisia ya matukio yajayo.........................sasa unapasua kichwa kwa nini?
 
Mashizo nina wasiwasi kama utaweza kumaliza masomo yako!!!
Sisi tumekupeleka nje uje utusaidie sasa kama unashindwa kuchambua mambo madogo kama haya tukueleweje???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom