nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Ukitaka akuache mpe anachokitaka....
"the way anavyojitoa kwako" anajitoaje............
Mhhhhh mkwe.. vibaya ivo, kwani unajua hilo jibaba linataka nini? kama ni roho yake je?
Anyway.... young girl, ukiruhusu tamaa zako za kujaliwa na MUME WA MTU zitawale ubongoni mwako, itabidi nikwambie "rest in peace" (sina hakika kama utanielewa.)
any way thnks ..bt cjakuwa na tamaaMhhhhh mkwe.. vibaya ivo, kwani unajua hilo jibaba linataka nini? kama ni roho yake je?
Anyway.... young girl, ukiruhusu tamaa zako za kujaliwa na MUME WA MTU zitawale ubongoni mwako, itabidi nikwambie "rest in peace" (sina hakika kama utanielewa.)
Mhhhhh mkwe.. vibaya ivo, kwani unajua hilo jibaba linataka nini? kama ni roho yake je?
Anyway.... young girl, ukiruhusu tamaa zako za kujaliwa na MUME WA MTU zitawale ubongoni mwako, itabidi nikwambie "rest in peace" (sina hakika kama utanielewa.)
Hapana mah me sijawahi kumuomba hata senti mia smtmz najishtukia namwambia thanx basi apo anapata hasira
hiki nawasifu wanawake mnatuhurumia sana mtu akilia lia tu unaona anakupenda sasa mpe papuchi uone hapo ofisini humuoni utakuwa unampigia badala ya kukupigia
hayo ndio maisha yetu
Jibaba linataka tu dudu yake mkwe, hamna kingine..