wewe Katavi acha kuzuga banaaaaa! akugeuze Bushoke mara ngapi wakati keshakuzuia??? mie na mume wangu watu8 wote tunajivinjari humu chitchat na marafiki kibao tunajifunza mengi hata na watoto wetu charminglady, sweetlady na Davie S.M wote wamo humu, mwambie huyo demu aache wivu...ha ha haaaaa