ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
Jilete inbobo mwenyeweNjoo unichukue
Iringa lini
So..?Napita jumamosi Iringa
So..?
Mimi sipo Iringa mkuukama utakuwa na muda tunaweza kuonana. Nina ziara ya siku mbili.
Kama hutokuwa na muda pia ni sawa.
Mimi sipo Iringa mkuu
Aliyekuambia mimi natishwa na mjadala wa bikra nani etiOkey. Sorry.
Nilidhani upo huko.
leo hatutajadili suala la bikra. teh..tehee..
Aliyekuambia mimi natishwa na mjadala wa bikra nani eti
Kama nilivyokuja na uzi wangu wa kuomba wenyeji kwenye baadhi ya mikoa, nashukuru nimetoka Mtwara ahsante kwa mwenyeji wangu kwa ukarimu wako, juzi wakati nipo Mtwara nikapata mwenyeji wa Dodoma lakini mwenyeji huyu maongezi yake ilikuwa anataka tu nimletee vitu kama Nguo sijui viatu halafu anataja vitu vya bei, nikamjibu mbona hata Dodoma vipo?
Yeye akajua fika mimi nitabeba hivyo vitu leo nimepanda gari kuelekea Dodoma tumewasiliana vizuri nimefika njia panda ya Gairo ananiuliza umenibebea vitu nikamwambia sijabeba, jamani kanitolea maneno ya shombo na kuniambia utajijua mwenyewe tafuta mwenyeji mwingine. Nimejaribu kumpigia simu hapokei na kwa sasa ameizima kabisa!!! Labda nikuambie ulichofanya ni utoto mkubwa Kama ulitaka wa kumchuna kwangu umenoa Dodoma ndogo sana hii siwezi kupotea.
Coco Bella una story wewe?
Kama tu last time tumepiga story weeee,ukanambia tutaonana MICASA LOUNGE,nimekuja MiCASA nikashangaa upo na tuvulana unapiga zako moja moto moja baridi!
Hahahaaaaa,sijui unaikumbuka hii?
pole kwaiyo dodoma umefikia wapi sasa coz wenyeji tupo wengi hapa dodoma njoo PM
we ni ke au me??
Okey. Sorry.
Nilidhani upo huko.
leo hatutajadili suala la bikra. teh..tehee..
Wahenga walisema BURE GHALI.
Karibu mwanza
Yeye au mimi?