Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Mpwa Giza lote hilo waelekea wapi?
Mpwa Giza lote hilo waelekea wapi?
Asubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika
Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge
Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya
Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute
Una miguu mizuri ya kuweka begani.Sipati picha ulivyonuna. Komaaaa
Mm zamam mke wangu alikuwa ananibembeleza kula , nikizila.
Siku hizi ananiacha , njaa inauma,
Bas siku hizi wamebadilika

Wote mna tabia mbayaHa ha ha ha huyo mkeo nafanana nae tabiaaa ......Mimi kumbbeleza MTU kula atanisamehe.......wewe Susa tu ukisikia njaa omba cha kula ule noo kubembelezewa chakula...alafu uzuri wake njaa haina ufundiii

Aaaah kumbe huwa ni makusud ya kuzira io ndio dawaAsubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika
Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge
Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya
Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute
ukiona MTU anasusa chakula kashibaaa.....vipo vya kubembelezana lakini si kwa tumbo lako mwenyewe usumbueee watu....nakuacha hasa ushindane na njaa we si kidumeWote mna tabia mbaya![]()
![]()
![]()
Machame sio!Ndo tatizo la kuoa kilimanjaro (machame)
kumbusha mbali sanaKuna sehem alitaja hata tarafa moja ya daslam kwenye thread yake?Wanaume wa dar hata kula ubembelezwe?? Sie huku kwetu tukifika tunaulizia kama wameivisha tunakula tunashiba baadae tunaelekea kugegeda mzigo.. sasa we na njaa yako hiyo utagegeda kweli?? Na usipo gegeda kila siku ukazila kula hata mwezi .. si utapigiwa??
Umekumbushwa mbali wapi? Weka ubuyu hapaMachame sio!![]()
kumbusha mbali sana
Ukabila ni adui wa amani na maendeleoNdo tatizo la kuoa kilimanjaro (machame)
Cheki na GuDume akuletee Makange ya senene mkuu.
Mm zamam mke wangu alikuwa ananibembeleza kula , nikizila.
Siku hizi ananiacha , njaa inauma,
Bas siku hizi wamebadilika