Cheki na GuDume akuletee Makange ya senene mkuu.Asubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika
Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge
Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya
Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute
Kachemshe mayai sita, shushia Na mtindi, muadhibu kwa harufu Kali ya ushuzi hadi akomeAsubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika
Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge
Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya
Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute
My wife wako!!!Jaribu pia kumzila na my wife wako uone itakuaje