luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Njoo uniweke beganiUna miguu mizuri ya kuweka begani.
Njoo uniweke beganiUna miguu mizuri ya kuweka begani.
Hahahahaha.....katika ubora wako uliotukuka.Mi sijawahi ona mwanaum anazila halafu anakuja kulia lia huku kwa WANAUME HALISI. kama umezila you move on unafanya mambo mengine.namna hii mnasababisha wanaume wengine pia wa kizaz chenu waonekane vile vile kama nyie. Sisi miaka yetu ni ngumu sana kusikia kwenye baraza la wazee au wanaume mtu anaongea neno kama hilo.tungemchpa bakora na kumtimua..
Hajafanywa chochote, anamfunza mumewe tabia nzuri, hivyo unamsusiaje mkeo chakula? Yaani nikupikie kwa heshima zote na furaha leo uje ususe nikitoa hicho chakula hapo mezani ni mpaka tuijadili hiyo tabia la sivyo katika hesabu ya chakula huna namba na usitegemee kukaribishwaWife wako katoka kuliwa amebinuliwa kila style kajichokea ananuka janaba badala ya kupumzika aanze kubembeleza jitu zima, kwanza anaona umempunguzia kazi.
Simuwekei, labda ajichekeshe na kusema laaaah wife hata hutaniwi? Hebu Lete chakula basiii, hapo nitacheka sana nitatenga na tuvidonge kwa mbali "kumbe unatania hahaaaa usirudie wangu ungelala na njaa"Sasa hapo hujachelewa bado mapema jifanye mama furani naomba uniwekee chakula Nile kuna kazi nataka nalizie nikitoka kuoga.....hakikisha usoni unakuwa silias ndio salama yako....tofauti na hapo tunasubiri thread yako asubuhi ya kukosoa mafundi walivyokosea kutia bati vizur kwenye nyumba Mara misumali haikukamilika idadi ..wakati nyumba umejenga miaka minne iliyopita idadi ya misumal iliyotumika unajua leo
Duuh janaba tena!...mkuu wew n balaa kW uchocheziHii comment ni shida.

Weee mkuu umenikumbusha mbali Mimi mama yangu ususi utakula kwa lazima na lazima ucheke kabla ya kula sio ombi ni lazima.....bisha uone....basi unaishia kujichekesha kama unataka kulia USO haunaa hata nuru wa mama wengineee sio wa mcheOooMama yangu ulikua ukizila kula anakushushia kipigo cha maana na unakula kwa lazima hadi sasa siwezi kuzila chakula
HV neno "my wife wako" limekaaje wakuuJaribu pia kumzila na my wife wako uone itakuaje