Nimezila chakula, njaa inauma hatari

Nimezila chakula, njaa inauma hatari

Nyie Watu wa kuzira Chakula mlipaswa kuishi na Mamaangu, nakumbuka nilizira chakula sijui nilikuwa na miaka 5/6 aisee Mama alinipiga kwelikweli, na nilipokuwa darasa la 3 pia nakazila eti "Samaki wamekinai" woiii! nilichezea kichapo; muda huo anakupiga na unakula. Huwezi kukuta Nyumbani Mtu anazira Chakula hadi leo hii nami siwezi kuzira, fanya utakavyofanya nipigie niudhi lakini nakula ili unune vizuri.
 
Back
Top Bottom