Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,576
- 9,785
Kwahiyo?Duuh mie sina jibu aiseeh, japo kuna sauti imeniambia kama ulimaanisha umechoka na hizi taarifa na bibi kigagula hana dalili ya kuacha kumpaisha Dadii wake humu, bora umuweke kwenye ignored list yako tuu.
Itakusaidia kupunguza kuchoka na nguvu hizo ukazitumia kwenye nyuzi nyingine.
NB: Hiyo sauti hata sijaisikiliza nimeandika tuu ilivyokiwa inasema, mie niko kimya tuu.
Haya.....Mpe masalamu mengi mengi kutoka kwa Bi. Kasinde asiye na madhara.
Sawa jitahidi ila tarehe 16 june si bosi wa dadii anavunja kibubu kule dom. Nimeambiwa dadii ana pensheni akosi zaidi ya mil 200. Tutetee hata atume ka hamsini tu nyumbani usimchukulie zote tutateseka.Nahisi kwa mahaba unayompa ndio kabisa hatutamwona akitoka Dom.Khaaa... hii ni zaidi ya jinai...
Acha nirekebishe hivi...
Sababu kila nnachomwambia anafanya, ntamwambia naomba unipeleke shopping kisha nanunua mazagazaga kibao ya nyumbani halafu namuomba na hela pembeni. Kisha Hizo hela na mazagazaga yote navifunga kwenye parcel a dress to mama Sin Card.
Baada ya hapo kama ataendelea kutotoa matunzo basi ntaweka standing order ya vitu cya kutumwa kila mwezi na hela cash, maana mzee wako hela anayo sema ili itoke anataka kusikia sauti ya 18....
Utanifaa hivyohivyoMie sio mmama, ni kigagula.....
Sawa jitahidi ila tarehe 16 june si bosi wa dadii anavunja kibubu kule dom. Nimeambiwa dadii ana pensheni akosi zaidi ya mil 200. Tutetee hata atume ka hamsini tu nyumbani usimchukulie zote tutateseka.Nahisi kwa mahaba unayompa ndio kabisa hatutamwona akitoka Dom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa UsinisahauBasi endelea kuvumilia zamu yako ifike ntakuita.