Inawezekana.Nimesoma riwaya moja inayoitwa TANGU NIPENDE,nimeshangazwa na jambo moja eti jamaa alizama kimapenzi kwa changudoa,na akafight hadi akamuoa.Ivi hii inawezekana,binti unakutana naye kama kahaba anayejiuza mnaishia ndoa tena mapenzi ya dhati?! HEBU NAOMBA MNIJUZE.
kumbeee!! Ila si kwamba mwanamke changudoa hana haki ya kupendwa,ila nashangazwa itawezekanaje kumbadili changudoa huyu hadi awe mke mwema? Kwa maelezo yako naona uko sahihi,ila je ataacha kabisa hiyo tabia.?Devine are you implying kua Changu doa sio binadamu?? Kwamba haana feelings or kua hastahili pendwa?? Changudoa na mtu ambae anfanya umalaya hawana tofauti... tofauti yake ni kua Changu analipisha hio huduma... Na labda chukua hizi faida za kuoa Changudoa... You never Know waweza vutiwa....
- Yupo Fit 6/6 in every sphere na anajua kujitunza huo mwili wake.
- Kwanza inabidi ujipongeze kua wee ni kiwango... maana siamini kama atakubali kuolewa na number mbovu hali zoote azijua...
- Huna wasi wasi ata fall in love na mtu mwingine... For this type of woman akifall kwakko hata itokee acheat itakua no emotional attachment.
kama vile umeisoma hii story,maana jamaa kuna wakati alikuwa anapewa bure.Ila ni kweli c wote wanaweza kubadilikaInawezekana.
1. Sio kila changudoa hujiuza kwakua anapenda. kuna asilimia kubwa sana ya machangu hufabnya hivyo kutokana na ugumu wa maisha ila kiundani hawapendi hata kidogo. ni ile tu mtu anakosa altenative yakimaisha na wakati hua anakua na mahitaji ya kujitimizia.
2. Wapo ambao hujiingiza katika shughuli hizi kwa sbabu niliyoisema hapo juu lakini kama wakipata altenative wanaacha tena completely, hata hivyo wapo ambao wanaingia wakiwa hawana nia anayo bali ni shidatu, ila baada ya kuzoea wanajikuta kama wanakua addicted na wanapenda kazi yao hiyo. sasa hapa inategemea umekutana na yupi.
3. Mapenzi ni hisia na akili, lakini kwea kiasi kikubwa ni hisia. machangudoawanahisia kama kawaida. nilishasikia story kibao za machangu amabao unaweza kukutana nae siku ya kwanza ukamnunua ukaenda kupiga, lakini ikitokea akavutiwa na wewe anakua anakupa bila hata malipo. hiini ishara ya kua hata wao kuna wakati hua na hisia za kimapenzi.
Pili katika hili ni kua unaweza kumbadilisha tu mtizamo kabisa. mkakutana kama mteja na mtoa huduma lakini msi-treat kibuashara zaidi mkatreat kirafiki zaidi. sawa, at first hela utampa lakini on your privacy ukamfanyia vitu vingine vya kimahaba, care mbalimbali, zawadi, sometime unamlipa zaid ya makubaliano, sometime mnatoka bila ku do, sometimes mnazungumza habari tofauti kabbisa na ngono na kama upo siriaz sometmes unalala nae bila hata ku do hadi morning na chake unampa. ni njia tu za kisaiklojia ambazo zaweza kumbadilisha akajikuta anafall in love.
Angalizo: sio lazima kua njia hizi zitafaulu. uwezekano wa kufaulu upo lakini labda ni 40 kwa 60% or even ess than.
So try it at your own risk.
Niliipenda heading, kumbe stori hazikuhusu mwenyewe!
kabla ya kumuoa una mflash kwanza kisha una mfactory settings
Hakuna haja hiyo... Mapenzi yako ya kweli kwake changudoa ni sawa na kumpa uhai mpya...yaani 'New advanced operating system" Windows 7 itaondoa taka taka zote za ile Windows Xp.
Nimesoma riwaya moja inaitwa'TANGU NIPENDE',kilicho nishangaza jinsi mhusika mkuu alivyo zama kumpenda changudoa ambaye akaishia kuwa mke wake.Ivi hii inawezekana,binti unakutana naye kama kahaba anayejiuza mnaishia ndoa tena mapenzi ya dhati?! HEBU NAOMBA MNIJUZE.
Inawezekana.