Dah!! Mkuu huko siwezi kufikia bana. Hiyo level of heart attack niya juu sanaTafuta rafiki yako yeyote, then umwambie aende hapo bar akamtongoze na ahakikishe kumuahidi dau kubwa kama 40,000 au 50000 baadaa ya kulala nae...na akomae kumsubiri hadi watakapomaliza kazi huku pale pale anampa care za kila aina including kununua msosi na vinywaji... wakienda kula tunda you know what to do..ila pia usishangae bbest yako akipendwa zaidi..ukubaliane tu na matokeo ya utafiti ila utupe mrejesho...
Hahahaaa!! Mkuu hapo hakuna fix. Hela ile aliitaka kwa nguvu siku ya kwanza kuonana. Ila baada ya kujuana hakuwahi kunilazimisha nimpe hela. Pole sana.Story yako nimesoma btn lines kuna sehemu kama ulikuwa unatupiga fix hivi maana ukiwa muongo unatakiwa uwe na kumbukumbu. Kuna sehemu ulisema hajawahi kukuomba hela wakati siku ya kwanza kumnjunja alikulipisha hela sasa sijui ulikuwa umesahau au ndio umekuwa kipofu kwenye hilo penzi jipya
Kwa huo mtego hata ukimfanyia mfanyakazi wa benki anaingia king. Maana kila demu akitongozwa na kuonyeshwa mpunga na care kidogo anatoa mbunye. Atumie style nyingine ya kumchunguza pia kumbuka ukimchunguza sana bata humliTafuta rafiki yako yeyote, then umwambie aende hapo bar akamtongoze na ahakikishe kumuahidi dau kubwa kama 40,000 au 50000 baadaa ya kulala nae...na akomae kumsubiri hadi watakapomaliza kazi huku pale pale anampa care za kila aina including kununua msosi na vinywaji... wakienda kula tunda you know what to do..ila pia usishangae bbest yako akipendwa zaidi..ukubaliane tu na matokeo ya utafiti ila utupe mrejesho...
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla mkuu
kijana fuata moyo wako kama qualities za kua mke anazo basi oa tu. mimi nimeoa mwanamke wa ivyo alikua anafanya kazi basi na sasa tuko ndani ya ndoa 3 years na tumebalikiwa binti mrembo sana. ivyo kufanya kazi bar kusikutishe kwasababu wengine wanafanya kutokana na life ngumu ila sio mapenzi yaoHongereni kwa majukumu ya leo waja jamvi.
Nikiri wazi kuwa kwa kipindi kirefu nimekuwa ndg msomaji tu hapa jukwaani. Na leo nimeona nishare nanyi jambo...
Nilikutana na huyu binti mida ya usiku, akili za usiku(ulevi) zikanifanya nisimame kumsaidia(kutupa ndoano). Hakusita kutaka msaada wa lifti mpaka eneo analoelekea. Tukiwa njiani ndipo stori za hapa na pale zikaendelea ikiwa ni pamoja na kujuana kwa kifupi.
Nilijikuta nafika mpaka mahali anapoishi. Kabla ya kuachana nikajaribu kuona kama ninaweza kuambulia kitu (niwazi kwamba mimi ni mstaarabu kwa kiasi flani. Nilikuwa radhi kumuacha aende zake) ila baada ya kuona kama kuna muelekeo nikakaza kamba na baada ya muda kweli nikapitishwa.
Nikaulizwa "kwahiyo unatakaje?"
Nikajibu "tutafute gesti" (mwanzo alisema anaishi na dada yake hapo gheto)
Nikaulizwa tena "wapi?"
Nikajibu "popote pa karibu"
Ndipo alipoomba dk kadhaa aende ndani kuchange then tutaenda machinjioni. Moyoni nilijiambia kuwa ndo style ya kuachwa kwenye mataa na mtoto wa mjini ila nikaamua hebu nimruhusu then nione. Kweli akaenda ndani na kama baada ya dk 5 akatoka. Kurudi kwenye gari akaniambia dada yake bado hajarudi. Hivyo kama vipi tuzame gheto. Akili za usiku zilizochanganyika na mhemko zikanipanda na kujikuta nimezama ndani.
Yalitokea yakutokea na baada ya shughuli nikaamriwa kumlipa, sikuona hiyana. Nikatoa elfu 10. Nikajibiwa haitoshi kwani gesti lazima ningelipia. Nikaongeza 10 nyingine. Nilijikuta nimeomba no ya simu then nikaondoka.
Kesho yake mchana nilimtafuta tena huyu binti, lengo likiwa ni kumsabahi (lakini pia kujaribu no ya simu kama ni fake au lah) bahati nzuri ilipatikana na tukaahidiana kuonana. Jioni ya siku hiyo tulionana, ndipo nilipoona kitu cha tofauti. Nakiri kwa dhati ya moyo huyu binti wa kichaga alikuwa kaumbika vema. Mcheshi na muwazi sana. Kwa muda mfupi nikajikuta namfahamu na kumzoea sana.
Ukurasa rasmi wa kufahamiana na kuanza mapenzi rasmi ukafunguliwa. Alikuwa wazi kwangu kuwa yeye ni Bar maid wa bar maarufu sana mitaa ya kinondoni.
Ndugu zangu binti huyu alinionyesha mapenzi ambayo sikutegemea hata kidogo, nilipikiwa chakula kitamu kila akiwa off (kwa hakika sijawahi kupikiwa chakula kuzuri namna hiyo before), huyu binti hajawahi kuniomba hela yoyote (nimekuwa nikichangia chakula na mambo mengine kama mwanaume ila sio kulazimishwa), amekuwa mtu wa karibu tofauti na nilivyotarajia, ni mjuzi na mtaalamu wa mapenzi (hapa mnaelewa), bila kusahau kupelekewa maji bafuni [emoji3]
Baada ya muda mrefu kuwa tunakutania kwake mara zote (sio kweli kwamba alikuwa anaishi na dadayake) siku moja akataka kufika kwangu. Nikamdanganya kuwa nimeoa. Dah, aisee palitokea ugomvi mkubwa siku hiyo. Mtoto alilia sana usiku kucha, nilimuonea huruma sana. Ila sikuwa na jinsi coz sikuwa nawazo wala kudhani kuwa ningeweza kuwa nae kama mke na mume (bado niko single af)
Baada ya tukio lile tulikubaliana tuachane kwa maana ya mapenzi ila tuwe marafiki. Ukweli toka tulipoachana nahuyu binti nimejikuta nampenda ghafla, amezidi kuwa mwema kwangu kiasi cha hata kunisaidia hela pale ninapomdanganya kuwa nina shida ili kumpima, zaidi nakumbuka ucheshi wake, mapishi yake na kila kitu.
Wana MMU nakiri huyu binti ameniteka sehemu ya akili yangu. Na ikimbukwe amekuwa muwazi sana kwangu, kiasi cha kuniachia simu yake mara zote nilipohitaji kukagua (ili kumtafutia kisingizio) nimekuwa nikitembelea bar yao mara kwa mara kwa kushtukiza ila mara zote sijawahi kuhisi tabia yoyote mbaya kutoka kwake.
Huyu binti mara zote amekuwa mshauri mzuri kwangu japo shule sio sana ila atleast anajua dunia inanyoenda. Kwa mda mfupi nimejikuta nimefanya mengi kwa ushauri wake. Ni yeye aliyeshinikiza kupima afya. (Sikuwahi kabisa kupima HIV kipindi cha nyuma) hivyo kupelekea kumuamini zaidi na kuenjoy sex.
Nakiri binti huyu anavigezo vyote vya kuwa mke kwa upande wangu. Ila mazingira niliyokutana nae pamoja na mazingira ya kazi yake vinanikosesha amani kabisa.
Nimeshawahi kuwa na mahusiano mengi kabla yake, ila naweza sema hiyu ni wapili kwa kuuteka moyo wangu ukiacha mke hewa wa kichuochuo.
Kwa wanaume kama umewahi kukutana nahali hii ulihandle vipi?
Msaada wa maombi ndio unahitajika zaidi
Nisameheni kwa muandiko mbaya. Bado Lerner hapa JF.
Usiku mwema wapendwa!
tunaomba usimulie kidogo
Ya nini kurefusha maneno wakati ikisemwa Bar maid unakua ushaelewa?Kwann useme umezama kwa bar maid na isiwe umepata mchumba au kazi ya bar ina kitu gani cha ajabu
Mimi kwa uzoefu wangu ndoa inapangwa na Mungu aisee. Hii kitu ndio hatima ya maisha yako so uko katikati yako na hatima ya maisha yako. Na kama ujuavyo hatujui kesho yetu so mkabidhi Mungu njia yako omba funga mshirikishe Mungu sana hilo eneo haijalishi umeendelea kias gan au umesoma kias gan, ukikosea kuoa umekosea maisha yako yote so ingia ndan ya moyo wako umkabili Mungu yeye ni mwaminifu hata kunyima wa kufanana na wewe.Hongereni kwa majukumu ya leo waja jamvi.

Very true mkuu... Umenena vema kabisa. Nafanyia kazi maoni yako...Mimi kwa uzoefu wangu ndoa inapangwa na Mungu aisee. Hii kitu ndio hatima ya maisha yako so uko katikati yako na hatima ya maisha yako. Na kama ujuavyo hatujui kesho yetu so mkabidhi Mungu njia yako omba funga mshirikishe Mungu sana hilo eneo haijalishi umeendelea kias gan au umesoma kias gan, ukikosea kuoa umekosea maisha yako yote so ingia ndan ya moyo wako umkabili Mungu yeye ni mwaminifu hata kunyima wa kufanana na wewe.
La msingi unatakiwa ukumbuke hili cku zote Ndoa ilianzishwa na Mungu pale paradiso la kwa misingi hiyo unatakiwa uende kwake akupe aliyekuandalia. Ucdanganywe na ujana au elimu plz nakuomba tena hilo eneo hata maprof wamefeli. Kingine angalia asili ya watu coz nature never change. Wala usimuoe mtu kwa kumuonea huruma au kwa elimu yake au kwa utajir wa familia yao au umasikin wao