Asante sana nduguWatoto wa chuo ni watoto tu sawa na shule za Msingi na Sekondari chuoni wanajazana ujinga wao ni wasomi wakubwa nchi hii na kuwaona waliopo kitaa wote hawana shule.
Hivyo huyo binti bado ni mdogo hayajui maisha yalivyo ni wa kwenda naye taratibu, tumia pia ndugu wa karibu wanaoweza kumshauri vizuri
Oooh sawa Yapo mazuri yake nisiwe muongo lakini yanafunikwa na hayo hapo juu...Na mimi nimejiuliza swali kama la kwako mkuu, ina maana huyo mwanamke hana zuri hata moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kwao alienda kusalimia, anakomaa arudi namzuwia..... Katoto pia kanakomaa kanataka kwenda kwa baba basi tafraniiMrudishe kwanza kwao akafundishwe adabu. Akiona amefuzu arudi kama hajafuzu chukua mwanamke mwingine ishi nae siku akifahamu hilo atafata mambo yake.
Waambie huko kwao wamfundishe adabu akishajifunza ndio arudi. Mtoto hawezi kushinda watu wazima akili.Yupo kwao alienda kusalimia, anakomaa arudi namzuwia..... Katoto pia kanakomaa kanataka kwenda kwa baba basi tafranii
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!! Pole ila utafanyaje 😣Eti hapendi maisha magumu, we unapenda? Mimi pia sipendi kwa kweli, ningepewa nafasi ya kuchagua aina ya maisha hakika nisingechagua haya niliyonayo...nayachukia kupita maelezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu,
Hapo cha maana angalia namna gani unaweza kumhudumia mtoto wako kwani huyo mwanamke atakusumbua sana ukiishi naye.
Tena shukuru ameonyesha makucha yake mapema kabla haujamuoa.Ungejuta!