Nimezaa na mke wa Mtu

Kwaani kakuomba matumizi...mtoto.atabakia.wa.mshikaji.ila akiwa mkubwa anaweza kukutafuta
 
kuna mawili yanakuja juuu yako, kwanza LAZIMA UJIANDAE KABRA YA KUFA, kudandiwa, na kupigwa p............u....................m....................b.........yo, na jingine jiandae na wewe, kupigiwa na kuingiziwa mimba.yote haya nayatabiri kukutokea tahare 23, ya mwezi wwte na mwaka wwte. kabra hjafa.hta huweje makini haitosaidia, hiyo si tarehe ulipga mke wa mtu na kumpa mimba?
 
Kwa style hii nitasubiri sana kuoa
 
una uhakika kwamba ww ndo baba wa mtoto au amekwambia tuu na ww umekamatia hapo hapo
hzi mambo siku hzi mi nyingi mkuu mm rafki yangu ilimtokea km hvyo ila yeye aliyempa mimba hakuwa mke wa mtu bali jamaa anaishi na mwanmke tu na wameshazaa mtt mmoja mtt wa pili ni wa rafiki wamefanana na mtt sanaaaa ukiona huulizi
 
hzi mambo siku hzi mi nyingi mkuu mm rafki yangu ilimtokea km hvyo ila yeye aliyempa mimba hakuwa mke wa mtu bali jamaa anaishi na mwanmke tu na wameshazaa mtt mmoja mtt wa pili ni wa rafiki yangu wamefanana na mtt sanaaaa ukiona huulizi
 
Mimba si yako, ni ya mume wake. Kitanda hakizai haramu. Wewe huyo demu la jamaa likiendelea kujileta chapa mbunye tu. Cha maana mjitahidi msijulikane. La sivyo, mwenye mke akijua tu, mzee lazima utabeba rucherere lake.
 
hiyo sio mimba yako, unapata wapi ujasiri wa kusema mimba ya mke wa mtu ni ya kwako???
 
Mke wa mtu ni sumu jombaa, yani nyie mnaojifanyaga mnawala wake za watu halafu mnakuja vuruguwa upendo wa ile familia, yani ni kupiga kobole la matako tupa kule nyie ni mapepo sana, mimi ndo nikufumanie umemla mke wangu jiandae vita vikali,
 
Acha kututania hapa...ww una uhakika gani kua hiyo mimba ni ya kwako??? Yeye anaishi na mumewe na kwako anakuja mara 1 1 tu kwa kujiibiza so possibility ni ndogo sana ya kua ww ndo msababishi wa mimba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…