Kwetu na kwangu hayupo.
kaaaazi kweri kweri, Matangazo yote hayo DUME wanayoyatoa bado unakwenda pwekupweu tu?
ama mda wa hilo tangazo lako huwa unvaaga miwani ya mbao nini?
Yaaani amaenifikirisha saaaaanaaa huyu dada wa mimi leo!!!!!
Stori za kutunga utazijua tu....Heading, nimezaa na mke wa mtu....maelezo, nimempa mimba mke wa mtu!
Wala usianze kufikiria mawazo hayo...
Kwanza kinachokufanya uweweseke ni nini?
Kama ulikuwa huitaji mtoto kwa nini ulidinyana pasipo na kinga?
Kwanza umejuaje hiyo mimba umesababisha wewe ilihali huyo ni mke wa mtu?
Mwanaume yoyote makini huwa hachomeki tu hovyo komeo lake kwa mwanamke....huwa anatambua kwanza mfumo wa mwanamke.
Mkuu,Mwanamke ndiye anaeweza kujua mimba ni ya nani.....Kwangu mimi naona hana sababu ya kunidanganya kwamba mimba yangu na wakati si yangu.....Ila ana sababu ya kumdanganya mumewe
Aha aha aha ahaaaa!!!! Dawa ni kuishi kwa matumaini tu!!!
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu
Wadau,
Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....
Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.
Naona Freeland hapa unajifunza kutunga story. Ni mwanzo mzuri jitahidi kukiendeleza kipaji chako utafika mbali hata kiasi cha kutunga vitabu.