Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
Umchuke mtoto umpeleke wapi sasa? huyo mtoto si wako broda. Kama kweli unampenda huyo mama, achana kabisa na hiyo biashara ya mtoto
Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto kwa kweli mtoto ni mzuri sana nifanyeje ili nimchukue
Unamchezea simba sharubu aiseee, naona umechoka kuishi.Ile ni damu yangu lazima nimchukue uhakika ninao 100%.
Ile ni damu yangu lazima nimchukue uhakika ninao 100%.
achana na mke wa mtu Arifu, usije ukajikuta unazaa na mumewe pia.....
Wewe dogo aliyekuambia huyo mtoto ni wa kwako nani? Au umemuona mzuri unadhani mume wake hawezi kuzaa mtoto mzuri? Halafu bado katika kipindi hiki unatembea na mwanamke uliyekutana naye chuo bila kinga? Kama unataka kumsaidia huyo mwanamke matunzo ya mtoto kama mpenzi wako wa zamani msaidie lakini hilo la kumchukua huyu mtoto nakushauri ukajadiliane na mume wake pengine anaweza kukuruhusu!