Hayo mambo ya darasani yaache huko ukija real world utamu has crumbled empires sembuse jamaa kuzalisha. Chamsingi bahariA kafanya kweli.Bila “kufahamu”?
Really?
Ukishatomba bila kondomu mkuu ulitegemea nini sasa?
Maana hii ni basic Biology 101!
Anapanda wanapolima wenzakeUkipanda mazao kwenye shamba la bwana Kheri mazao yale ni ya nani?
Umeambiwa kitanda hakizai haram, mtoto anamtambua baba aliyemlea tangu anazaliwa. wewe ni kama donor wa mbegu na hupaswi kuingilia wala kusogelea. Mtoto hataambiwa kitu labda wewe umfuate. Akishakuwa mkubwa atakuwa anatambua baba yake ni yule no. 2 siyo wewe.
Hayo mambo ya darasani yaache huko ukija real world utamu has crumbled empires sembuse jamaa kuzalisha. Chamsingi bahariA kafanya kweli.
Damu ni damu tu, usifananishe na mazaoUkipanda mazao kwenye shamba la bwana Kheri mazao yale ni ya nani?
Ukipanda mazao kwenye shamba la bwana Kheri mazao yale ni ya nani?
Umeambiwa kitanda hakizai haram, mtoto anamtambua baba aliyemlea tangu anazaliwa. wewe ni kama donor wa mbegu na hupaswi kuingilia wala kusogelea. Mtoto hataambiwa kitu labda wewe umfuate. Akishakuwa mkubwa atakuwa anatambua baba yake ni yule no. 2 siyo wewe. Please leave the kid alone usimvuruge. Kazalishe kwingine kwa njia ya halali upate wako. You was just a donor of sperms not a father.