Nimezaa na mke wa mtu bila kufahamu. Je, naweza kumchukua mtoto?

Enzi za machifu (Mfumwa) wakipare ulitokea ugomvi.

Ndugu kafa, mdogo wake karithi mke. Amezaa na mke mtoto mmoja wa kike.

Mahari ya mtoto wa kike ilipototewa mrithi wa mjane anataka kuichukua akatumie wakati watoto wakubwa wa marehemu walitegemea dada yao akiolewa watatumia mahari ile kuolea.

Kilichotokea watoto wa marehemu walifungua shauri kwa chifu/mfumwa kudai kuwa ile mahari ni halali yao.

Kawaida ndoa ya kipare kimila ni mbuzi dume mmoja kwa jina wanaita "mpingirwa". Hata bibi kizee akiachwa ili itambulike kaachwa wakwe lazima wamrudishe yule mbuzi wa ndoa.

Hukumu ilikuwa hivi;
Chifu alimuuliza mrithi " hivi kaka yako alipokufa mbuzi wa ndoa 'mpingirwa' alirudishwa nawe ukatoa wako upya"? Mdogo wa marehemu akajibu "hapana".

Akaambiwa mtoto huyo huna haki naye, wewe ni sawa na beberu aliyetoka kwenye kundi lake akaenda kwenye kundi la jirani akawatia mimba mitamba ya mbuzi wa jirani, watoto watakaozaliwa wanakuwa wa mwenye kundi, mwenye beberu hawezi kuwadai.

Hivyo kwa mfano huu wewe ni beberu umetia mimba mtamba wa jirani mtoto ni wa jirani si wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani ki ufupi jiandae kwa mawili

1,jamaa akufanyie kitu kibaya sana hata kukuua kama ni mtu wa hasira

2, jamaa kukufungulia kesi ambayo ingekufilisi kabisaa kama akipata wanasheria wazuri
but kama ndo mimi ningekuwa huyo mme kitu ambacho ningekufanya wew na huyo mke acha tu kibaki siri kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They are mzee

Ila yote haya ni relative,inategemeana na mtu!

Haiwezekani wakati natomba akili niziache mlangoni mzee!

Kila saa nahakikisha nipo nazo mfukoni!

Nothing more nothing less!
Safi sana mzee kwa kudumisha mila ya kugegeda. Hilo ndio la msingi... Mambo ya ndom bila ndom ni uchaguzi but ukumbuke tuu science ilisha prove kuwa utamu wa kugegeda upungua kwa 33% ukitumia ndom.
 
Mtoto amelelewa na mwanaume mwenzio its allmost 5yrs now, huku mwanaume mwenzio akijua huyo mtoto ni wake! then wewe from no where uende ukamchukue huyo mtoto, sure bro tegemea haya; Jamaa anaweza akafanya maamuzi magumu kwa mtoto, kwako na huyo mwanamke.

Ushauri achana na huyo mtoto let his/her to survive & also ukienda kufanya hivyo utamuathiri sana mtoto ki saikolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maelezo yote yaliyotolewa, naona inawezekana kabisa kumpata huyo mtt,
ingaw ndo vile "Nothing good comes easy"

ni jambo la kuanzia kwenye uongozi wa chini, kikubwa yule baba wa mtt akishajulishw hilo, pia dogo tupo wilaya moja lazima kuja kukutana naye, tutafahamiana,

so lazima aje kunifaham babaake, Kwan tunafanana hatarit kikubwa yy mtt atakuja kuamua sasa aende wapi.

maana kifupi yupo ugenn na kuna wkt alilia jina nikampa mamaake akawa Amempa kimyakimya na ndio mwnzo wa mm kustukia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom