Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 334
- 657
CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
Kwahyo umeamua kubalance mambo kidogo😁😁😁Halafu kwenye hilo kundi akapita nani na nani?
Na nyie pigeni ndumba 😂Kwahyo umeamua kubalance mambo kidogo😁😁😁
Sema mechi za nyumbani mlitumia nguvu kubwa sana ya Ndumba😁😁Wizard FC
Yanga tuna akili timamu hatuwezi kuwa kama Makolo yaan wanachawia then wanafungua, wanafedheheka na wanapigwa faini.. ni Timu Kichaa isiyojielewa ndo inaweza kukubali scenerios Kama hizi..Na nyie pigeni ndumba 😂
Kwani kwenye Group stage zilichezwa hizo match tu.CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
View attachment 2309078
Unajifariji tu utopolo ila ukweli mnatamani rank za Mnyama. Halafu utopolo ilipigwa faini kwa kuingia uwanjani kwa Mkapa kupitia geti lisilo rasmi, uto ni uto hawajawahi kuwa na akili.Yanga tuna akili timamu hatuwezi kuwa kama Makolo yaan wanachawia then wanafungua, wanafedheheka na wanapigwa faini.. ni Timu Kichaa isiyojielewa ndo inaweza kukubali scenerios Kama hizi..
Kwani huko utopoloni vichaa mmepungua?Yanga tuna akili timamu hatuwezi kuwa kama Makolo yaan wanachawia then wanafungua, wanafedheheka na wanapigwa faini.. ni Timu Kichaa isiyojielewa ndo inaweza kukubali scenerios Kama hizi..
Akikujibu nahamia Burundi kesho mapema asubuhi.Halafu kwenye hilo kundi akapita nani na nani?
Game tatu mtu kakalia 12.CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
View attachment 2309078
Hakushinda hata mechi moja halafu akawa anajiita wa kimataifaGROUP CAF CL 1988
View attachment 2309089
Miongoni mwa aibu tulizowahi kukutana nazo watz kupitia utopolo.
Alafu kupitia code iyo iyo 255 msimu ulifuata simba akapeleka timu nne ikiwemo na chama lqko la utopolon mkaenda kuaibisha taifa kwa kufungwa hata na Gormahia tena nje ndani ...yaan wehu sanaaa nyieCODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
View attachment 2309078
Alafu kupitia code iyo iyo 255 msimu ulifuata simba akapeleka timu nne ikiwemo na chama lqko la utopolon mkaenda kuaibisha taifa kwa kufungwa hata na Gormahia tena nje ndani ...yaan wehu sanaaa nyie
Nguvu moja.Halafu kwenye hilo kundi akapita nani na nani?
Kapigwa bao 19GROUP CAF CL 1988
View attachment 2309089
Miongoni mwa aibu tulizowahi kukutana nazo watz kupitia utopolo.
CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
View attachment 2309078