Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Huyo ndege atakuwa ni ndege JOHN
Lara sarama uhamke mapema








woiiiiChizi huyo![]()







Nirikuaidi nitanjarimbu kaka yagu sijuyi kama nimepatiya/Shehe mbona hii kazi mkuu unataka kutupa,umeshaambiwa bonyeza we kazi yako ni kubonyeza mengine utajuwa ukishapabonyeza,ok angalia hiikumjibu mtu bonyeza hapo nilipozungushia kijiduara kisha itakuja kama hii picha ya pili utaandika unachotaka kumjibu hapo nilipoandika kawaida then bonyeza juu pale nilipopazungushia kiduara picha ya tatu ili kupostView attachment 931422View attachment 931424View attachment 931431
Note:Hii ni kama unatumia app ya JF japo nina uhakika ndiyo unayotumia kama unatumia browser sema usaidiwe tena.
Yeah safi sana kwa hili umeshaweza!Nirikuaidi nitanjarimbu kaka yagu sijuyi kama nimepatiya/
Lalaa wukooo...bafua banakuzingua bebeeSikumbuk hila ilidondoka huwanjani kaka yagu?
Jamaa naskia kashavuta demu kutoka jf na hzi swaga zake...ila Pembe za panzi bwana
Pehembe za pahanz karibu handaznakumbukwa maneno ya mama muzazi arisema nihishi na watu kwa hupendo na eshima.?
Huyu mkuu tumsaidie hadi ajue kispaniolaBab kubwa mdogo mdogo utakaa sawa!
Jamaa naskia kashavuta demu kutoka jf na hzi swaga zake...
Kanitumia pm screenshots ...
Aahh nimecheka sana








Wanawake ndg yangu ni hatar sana ...
Daaahh☆Wataramu☆
huyu jamaa kiboko
Hahaha asee we jamaa kiboko. Umefanya nipitie nyuzi zako zote nisome comment baada ya comment..
Lara sarama uhamke mapema







Jf ni stress free yaniDaaahh
Nimepata comedy aisee, nacheka sanaa
Ngoja tuburudike tu mkuuJf ni stress free yani