Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
- Thread starter
- #121
Kuimba niko kwnye mupaka wa marampaka kaka yagu
Wewe jamaa kama ni kweli basi una character ya kipekee sana! Namna unavyo jibu watu, bila hasira wala mihemko. Endelea hivi hivi, kila siku ingia JF, Soma, anzisha thread na jibu watu. Tafuta mtu wa karibu yako ambae ataweza kukufundisha jinsi ya kutumia vizuri JF. Pia uwe unasoma magazeti na maandishi yoyote kwa ujumla.Huyu jamaa kaandike kama vile kabanwa na mafua makali sana, yaani nimemaliza kusoma tu nikaanza piga chafya kali sijui kaniambukiza mafua?
Shehe mbona hii kazi mkuu unataka kutupa,umeshaambiwa bonyeza we kazi yako ni kubonyeza mengine utajuwa ukishapabonyeza,ok angalia hiiNikibonyeyeza itawanje,
kumjibu mtu bonyeza hapo nilipozungushia kijiduara kisha itakuja kama hii picha ya pili utaandika unachotaka kumjibu hapo nilipoandika kawaida then bonyeza juu pale nilipopazungushia kiduara picha ya tatu ili kupost
Kabla hujalala ebu andika hapa vizuri sentence yako hiyo apo juu...Sawaaa nitanjaribu kesho mahana ninataka kulara
“SAWA NITAJARIBU KESHO MAANA NINATAKA KULALA"Bab kubwa mdogo mdogo utakaa sawa!Sawa nitajaribu kesho maana ninataka kulala hasante sana kaka
SiweziHaaaaa mkuu Astelia jitolee kumfundisha kiswahili huyu jamaa
nitaumiza kichwa changu burePunguza kula sana usiku hadi unavimbiwa. Ndoto zingine zinasababishwa na ulafi hasa usiku.

Punguza kula sana usiku hadi unavimbiwa. Ndoto zingine zinasababishwa na ulafi hasa usiku.
Amekujibu...Zaman piya nirikuwa narara hata jaa hila nawota.
.mtu huyu ananichekesha mno☆Wataramu☆Kila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidi
Hahaha asee we jamaa kiboko. Umefanya nipitie nyuzi zako zote nisome comment baada ya comment..Sawa nitajaribu kesho maana ninataka kulala hasante sana kaka