My jitahidi ili ajue, inaonekana ana tatizo sana la kiswahiliTuanze kwenye ku quote
Kama unatumia jf ya application na unataka kumjibu mtu bofya sehemu iliyoandikwa QUOTE
Na kama ni kwa web bofya sehemu iliyoandikwa REPLY
Natumai unajua kusoma mpendwa
Ndio my nitajitahidiMy jitahidi ili ajue, inaonekana ana tatizo sana la kiswahili
ila anaweza akawa anatuchora pia
Mkuu,mpe lift ukamshushe Nyege,Nyege,NyegeziNdio my nitajitahidi
ila anaweza akawa anatuchora pia
Wacha twende nae mdogo mdogoHilo nalo neno my wangu
Mkuu,mpe lift ukamshushe Nyege,Nyege,Nyegezi
Kwao Mwanza Nyegezi




pembe za panzi twende nyege nyege nyegeziSawa myWacha twende nae mdogi mdogo
😂😂Nakublock nisikuone tena na nyuzi zako za kisengerema punga wewe.
Niripeda sana shure hila nyubani hatukuwa na ela hiviyo nikacha iri nitafute ela ya kuwatyunza wadongo zagu na famiriya yentu?
ItabonyeaNikibonyeyeza itawanje,
Anhaaa, naomba nije PM kidogonyegezi niriwahi kupita wakanti tunahenda sengelema kwa bibi yake mujomba wagu wa itaria
Sijawahi kuja uko dada yagu labuda uje wewe niko wiraya ya kuimba.?




ila Pembe za panzi bwanaKwimba sehemu gani Bro'Sijawahi kuja uko dada yagu labuda uje wewe niko wiraya ya kuimba.?