Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

de pedezyee

Senior Member
Jun 21, 2015
104
109
Habari wanajukwaa.
Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki (Grandit teaks) kwa fikra ya kuja kuuza mbao pekee, lakin kadri muda unavyokwenda nimejiona mwenye bahati baada ya kugundua fursa nyingi zinazopatikana kwenye kilimo cha mitiki/miti

Msitu wa mitiki nilionao pamoja na miti ya aina nyingne umenipa nafasi ya kutundika mizinga ya nyuki shamba lote.
Lakini pia sikuishia hapo nikaona kuna tofauti kati ya kutundika mizinga nyuki waje na kufuga nyuki.
Mimi niliamua kufuga nyuki kwa kuanzisha kilimo cha alizeti pembezoni mwa shamba la miti.

Pia nimechimba bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji lakini pia nyuki wapate maji..

Katika kipindi hiki ambacho ninasubiri mitiki ikue zaidi, imekua inaniingizia pesa nyingi kupitia mauzo ya asali na mafuta ya alizeti ambayo ninakamua mwenyewe..

Pia naendelea kuona fursa nyingi zikizidi kujitokeza kupitia kilimo hiki cha mitiki..

Ushauri
Kama unafikiri kuwekeza basi kilimo cha miti ni sehemu sahihi

Unaweza kunitafuta kwa ushauri, kubadilishana mawazo pia.
Kwa wahitaji miche ya mitiki ninasambaza kwa mikoa ya dar, pwani na morogoro kwa bei ya sh. 300@ mche, (pamoja na usafiri).

Call/text; 0766006128/0655715184
 
Watsap only 0683433440
Dah! Ntarudi kiongozi
 
Mkuu i hope hapo mwisho bei ulitaka kumaanisha @3000 na sio 300, sivyo?
 
Dah, am so lucky. Ntakupigia ili unisaidie ujuzi wa kulima miti hiyo. Nina kama heka kumi hivi ziko Mang'ula. Nataka nianze na moja ili nipate uzoefu. Kwa sasa shamba hili nalima Mpunga tu.
Shamba lipo morogoro-kilombero
 
Back
Top Bottom