Nimewaza hili🤔

Mie walisha ninyoosha sana humu ndani, lakini haijanikatisha tamaa sababu nikiamua sadaka yangu kuitoa inabai kuwa nadhiri yangu kwa imani na maombi yangu.
Kwasasa nimeongeza umakini zaidi kwenye kupush vijana wapate connections na mengineyo.
Mungu anijaalie afya na moyo wa kusaidia wengine kama inavyo mpendeza.
Naomba sana niwe na moyo mnyenyekevu na hekma iniongoze kila ninapo fanya sadaka ama msaada.
 
Sure, wapo watu wana uwezo mkubwa mno, sema ni hivyo hawana connection
 
Wakuu Mimi nahitaji msaada wa kazi nipo juu ya mawe miezi minne sasa🥹🥹kama Kuna mwandisi wa miradi ya ujenzi kama barabara au huko kwenye machimbo madogo madogo nahitaji kuwa connected nae. Hata wale jamaa ambao wapo karibu na wachina nawahitaji
 
Tajiri, naomba kuja kutiririka changamoto zangu kwenye ofisi yako ya waziri mkuu.
 
hawa madogo hawana jema sina hamu nao tena
 
😀😀bwashee wewe hauna shida
 
Sure wote tupo hivyo ila sio kama madogo zetu wanaokosa hata hela y kula milo kamili
Yeah connection muhimu ,ukiacha wale waliozaliwa kwenye familia bora ,wakimaliza shule wazazi wanawapa connection ila wenzangu na mimi waliozaliwa familia ya pangu pakavu tia mchuzi lazima upitie magumu kwanza lakni ni temporary ,cha msingi ni kupambana while unasikilizia michongo huku ukitafuta connection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…