Nimewaza hili🤔

Ungeshare hayo mawazo hapa huenda yakaweza kumsaidia na mwingine,

Au nakosea ndugu wananchi?
Mkuu ni mengi sana aisee, kimsingi ninakiri bila JamiiForums maisha yangu yangekuwa hayana thamani kabisa. Nitashare maana kuna mengine yapo huko kwenye mamlaka japo haki nayo ni kipengele sana, lakini nikikamilisha nitaandika hapa kubadilisha mitazamo ya wengi
 
Connection ni za pesa tu au na kule kwenye maofisi makubwa ya Dodoma kama vile Wizara ya health, TAMI funga na fungua SEMI?
 
Poa mkuu,

Nje ya mada,
Sijui kwanini hua nashindwa kukutofautisha na Chivundu mnafanana sana kwenye maandishi na kwenye vitu vingi humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…