Nimewaweka mademu sita on hold

whadaf..... is this? :evil: kuwa na vidumu nayo ni sifa ya mwanaume au hao ni wale wadada wenye low self esteem ambao wanadhani wewe ni God's gift to women.
 
Scofied

Sina Mahusiano Nao Hao Sita...They are Interested But Am Not....Nimewaweka ON HOLD

wamekwambia kwanini wana interest na wew? Au unafikiri wanaojiuza wapo mitaaa ileee pekee..think big mkuu siku wapo ndani ya mageti kaka...
 
safi sana kijana...... Ao sita kila mmoja kawapanga watatu ..... Kazi unayo......
 
Kuna wimbo aliimba mgosi Mkoloni unaitwa SIFA ZA KIJINGA kama kuna mtu anao auweke hapa jukwaani tuangalie kama verse zake hazihusu huu uzi...
 
hivi shule zinafunguliwa lini??? wanywa vijoti bado wapo kwa kitaa?? kazi ipo!
 
sweetlady

Naona umeungana na shosti wako Smile kunishambulia......Lengo La Thread Hii Ni Kushangaa majamaa desperate wanaotafuta Dada Poa Wakati mm nina wazungusha na kuwapotezea kama mademu sita hivi.....

Are u nut, I think my daughter is crazy not geting well in school because of you. You must be kaka poa,.
 

Ukishabadili mindset nadhani ndo tutaelewana. mi nilijua unashauri watu waoe, kumbe kutafuta demu!!! tena wa kung'onoka naye!!?? Naona unazidi kupotosha watu tu humu. Wewe umeoa ama una demu?
 
Ni ulimbukeni tu, mademu sita on hold, so whaaaaaat?
 
sifa za kijinga unajivunia wingi wa k za bure wenzio wanajivunia kubadil na kufanya dunia mahal salama kwa kila mtu kwel we differ
 
...Sasa ndio nini kuweka kichwa cha habari ambacho hakiendeani na habari yenyewe!!!! Acha hizo!!!!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…