Nimewashangaa sana wana Jf wa Dar kwa unafiki wao.

Nimewashangaa sana wana Jf wa Dar kwa unafiki wao.

We ulichanga shs ngapi???halafu inshu haikuwa mandatory waliokwenda wamewakilisha wana jf na hili swala halijaisha next time wengine tutakwenda.
 
Sasa ulitaka twende watu mia iwe kama maandamano ya chadema? Mlioenda si mlituwakilisha. Hujui watu walikuwa wapi au hujui kwamba ofisi nyingine ziliendelea na kazi licha ya kuwa ilikuwa nanenane? Tena usituite wanafiki maana hutujui.....kwani watu wenye shida wako ocean road tu? Unajua kwenye jamii zetu zinazotuzunguka tunafanya nini kwaajili ya wenye shida. Nachelea kusema kuwa mnafiki ni wewe uliyeenda af umekuja kuanzisha na uzi ili tukuone kwamba wewe ULIENDA maana kwenye uzi wa wenzio umeona hutaonekana vema. Mnafiki mkubwa......farisayo uliyekubuhu
 
Hakwenda huyu.
 
Watu wana mambo yao chungu nzima, mtu anaangalia niende huku kuisupport JF na kuacha mambo yangu au nifanye mambo yangu? Wengi wakaamua wafanye mambo yao. Pilika pilika za maisha si rahisi waliokwenda walitosha kabisa na hao ambao muda haukuwaruhusu kuwepo hawastahili kulaumiwa! Mbona hata party za JF wengi tu hawaendi...nao wanastahili kulaumiwa?

Ni upumbavu tu kuanza kushutumu watu kwa mambo ya hiari. Ni sawa na Le Mutuz alipoanzisha mada ya kuwashutumu wabeba maboksi kisa eti kuna Mtanzania (ambaye alishakata mawasiliano na nduguze walio Tanzania) alichomwa moto badala ya kuzikwa na sababu ya kufanya hivyo ni kukosekana kwa dola 6,000.

Giving is voluntary. If someone is in a position to give, well and good. If someone is not in a position to give, it's okay too.

And if someone just doesn't wanna give for reasons known to him/herself, it's alright too.

No need to castigate anybody for anything. That's simple-mindedness.
 
Kwakweli ilitia simanzi sana jumuia yenye wanachama zaidi ya laki kadhaa wajitokeze watu 30?
Kazi kubishana majukwaani tu na kujifanya wafia imani na dini zenu hamna hata mioyo ya kujitolea.

kila mtu ana sababu binafsi kwanini hakwenda waliowakilisha wanatosha
 
kutoa koments tu kuhusu kutembelea wagonjwa mbona ilikua rahisi, ila ku_take action ndo majanga.. tusamehe bure next time idadi itaongezeka inshallah
 
Hujui watu walikuwa wapi au hujui kwamba ofisi nyingine ziliendelea na kazi licha ya kuwa ilikuwa nanenane? Tena usituite wanafiki maana hutujui.....kwani watu wenye shida wako ocean road tu?

Exactly! Nchi nzima imejaa shida. Badala ya kwenda kusaidia wenye shida zao huko anakuja JF kuponda.

Unajua kwenye jamii zetu zinazotuzunguka tunafanya nini kwaajili ya wenye shida.

Tell' em Khantwe (btw, we Msukuma? Unajua maana ya jina lako kwa Kisukuma)

Nachelea kusema kuwa mnafiki ni wewe uliyeenda af umekuja kuanzisha na uzi ili tukuone kwamba wewe ULIENDA maana kwenye uzi wa wenzio umeona hutaonekana vema. Mnafiki mkubwa......farisayo uliyekubuhu

Usikute hata ye mwenyewe alikuwa a no-show.
 
Thibitisha madai yako kua sikuenda.
na wewe thibitisha madai yako kwamba wengi ni wake za watu walikatazwa na waume zao
au wengi ni watoto wa nyumbani walinyimwa nauli.Ukithibitisha ndo urudi kuniomba ushahidi.
 
Kwa mchanganuo mdogo tu wanajamii forum waishio Dar idadi yao ni zaidi ya laki 1.
Lakini cha ajabu waliojitoa kwa siku ya jana angalau kusaport japo kwa macho safari ya kuwatembelea wagonjwa Ocean Road hospital hawakuzidi hata members 50.
Sijui kwamba wengi ni wake za watu mlikatazwa na waume zenu?
Au wengi wenu ni watoto wa nyumbani mlinyimwa nauli?

Kwahiyo ulitaka wote laki moja waende ocean road au sio? Div 5 At work
 
na wewe thibitisha madai yako kwamba wengi ni wake za watu walikatazwa na waume zao
au wengi ni watoto wa nyumbani walinyimwa nauli.Ukithibitisha ndo urudi kuniomba ushahidi.
safi sana, komaa nae huyo ze mburulaz anaependa show, mpwa jongea hapa tafadhal MANI
 
Last edited by a moderator:
huu sio muda wa kuwalaumu watu kwa sababu kila kitu hufanywa kwa utashi,mbona nyie hata hicho kidogo hatujaona mnafanya zaidi sana mtaiga ili kujionyesha hapa.

Mkuu subiri nipo naandaa nondo za kufa mtu zinazothibitisha unafiki wa wanaJF wa dar
 
Exactly! Nchi nzima imejaa shida. Badala ya kwenda kusaidia wenye shida zao huko anakuja JF kuponda.

Tell' em Khantwe (btw, we Msukuma? Unajua maana ya jina lako kwa Kisukuma)

Usikute hata ye mwenyewe alikuwa a no-show.

No mi sio msukuma natokea nyanda za juu kusini. Ila maana yake kwa kisukuma nliambiwa ni kakichwa kadogo
 
Back
Top Bottom