Nimewashangaa sana wana Jf wa Dar kwa unafiki wao.

Nimewashangaa sana wana Jf wa Dar kwa unafiki wao.

Ndoa ya Mkeka

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
183
Reaction score
98
Kwa mchanganuo mdogo tu wanajamii forum waishio Dar idadi yao ni zaidi ya laki 1.

Lakini cha ajabu waliojitoa kwa siku ya jana angalau kusaport japo kwa macho safari ya kuwatembelea wagonjwa Ocean Road hospital hawakuzidi hata members 50.

Sijui kwamba wengi ni wake za watu mlikatazwa na waume zenu?

Au wengi wenu ni watoto wa nyumbani mlinyimwa nauli?
 
mi nilikuwa hata sijui kama kuna hii habari ya kutembelea wagonjwa??! ilikuwa jukwaa gani? mi huwa nashinda MMU na Love Connect
 
mi nilikuwa hata sijui kama kuna hii habari ya kutembelea wagonjwa??! ilikuwa jukwaa gani? mi huwa nashinda MMU na Love Connect

Bandiko liliwekwa hapa na mkuu Elli zaidi ya miezi lilikuepo na kila siku alikua anatoa uptodate.
 
watu wanaogopa kuonesha SURA MBAYA hasa akina dada
 
Bandiko liliwekwa hapa na mkuu Elli zaidi ya miezi lilikuepo na kila siku alikua anatoa uptodate.

nililiona nilikuwa namzingua tu huyu mleta thread...hajui watu wote wangeenda ingekuwa chaos,wachache waliowakilisha Mungu atawabariki.
 
WanaJF wa dar kweli ni wanafiki sana, baade na mimi ntakuja kuthibitisha hili.
 
Weee Unaona to ids tunazotumia ni fake.. Alafu unataka tujitokeze hadharani.. Kiruuuuuu
 
Back
Top Bottom