Nimewaona maafisa ardhi ilala,wakipima maeneo kwa ustaadi!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,061
23,510
KASORO.
**********
Wengi walikuwa wakiitwa ndani hasa ktk nyumba zinazomilikiwa na jamii ya waarabu.
MAENEO YOTE YA WAZI YANAJULIKANA!
Itashangaza sana tukaona baadhi ya maeneo ya wazi dhahri kutovunjwa!
ZINGATIO
**********
ZINGATIENI KATIKA KUVUNJA MAENEO YA WAZI YENYE TIJA KWA JAMII /
Mfano,VIWANJA VYA MICHEZO YA WATOTO,NA SEHEMU ZILIZOPASWA KUWA WAZI KWA AJILI YA MASOKO NA NK.
 
Back
Top Bottom