Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
ndio maana ake
na wewe turushe au hujapata
kichuna!
Karibu dogo.....habaribya majukumu
ndio maana ake
na wewe turushe au hujapata
kichuna!
Karibu dogo.....habaribya majukumu
ndio maana ake
na wewe turushe au hujapata
kichuna!
Kama ni vichuna tu ushindwe mwenyewe, vipo chekwa chekwa, naona Rich woman kanena kwa lugha, kazi kwenu. VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.....Na mimi pia, nasikia wewe ndiye waziri mpya wa mahusiano humu jukwaani? Kama ndivyo basi nitafutie kichuna...
dooooooooooooooooooo!!!!!!!! Rich woman pamoja na utajiri wako woote umeachwa?? kama siamini vilee!! amakweli mapenzi na pesa havifungamani .Niliachwa mimi kwenye mataa naona wewe pekee ndo huna hizo taarifa au labda umesahau.... Na tayari ndugu yako kashavuta jiko jipya
Hata mimi nimewamiss wana JF na Chitchat, mkoloni anakaba sana
Mie tena, nasubiri kideti cha pasaka na Rich woman...
Upo mkubwa...?
dooooooooooooooooooo!!!!!!!! Rich woman pamoja na utajiri wako woote umeachwa?? kama siamini vilee!! amakweli mapenzi na pesa havifungamani .
My akanana Passion Lady habri za jioni!
Halafu sijakufitini miaka mingi kweli,sijui nianzie wapi..??
St. Paka Mweusi mie I miss you very much
St. Paka Mweusi mie I miss you very much
St. Paka Mweusi mie I miss you very much
We acha tu, halafu unajua Filipo aliniudhi sana alipomtongoza @amu,wala sijui kama@ marejesho alilijua hili..??
sweetlady nakuapia hivi; sitamuambia Nicas Mtei kuwa wewe ndiye umeandika hapo.
Hizo tabia nimeacha siku hizi mamdogo.
Yalikuwa ni mapito St. Paka Mweusi ....Taarifa zote nilikuwa nazipata bila chenga